Ben Chilwell
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Benjamin James Chilwell (alizaliwa 21 Desemba 1996) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Leicester.
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ufalme wa Muungano |
Nchi anayoitumikia | Uingereza |
Jina katika lugha mama | Ben Chilwell |
Jina la kuzaliwa | Benjamin James Chilwell |
Jina halisi | Ben |
Jina la familia | Chilwell |
Tarehe ya kuzaliwa | 21 Desemba 1996 |
Mahali alipozaliwa | Milton Keynes |
Lugha ya asili | Kiingereza |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | full-back, wing-back |
Alisoma | Redborne Upper School and Community College, Loughborough College |
Muda wa kazi | 2015 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 21 |
Ameshiriki | UEFA Euro 2020 |
Ligi | English Football League, Ligi Kuu Uingereza |
Huddersfield Town
haririMnamo 19 Novemba 2015, Chilwell alijiunga na klabu ya Soka ya ya Huddersfield Town kwa mkopo akitokea leicester city ya vijana mpaka 3 Januari 2016.
Leicester City
haririMnamo tarehe 28 Julai 2016, Chilwell alisaini mkataba mpya na klabu ya Leicester City hadi mwaka wa 2021.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ben Chilwell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |