Hrazdan (Kiarmenia: Հրազդան - unaitwa wa Kirumi kama Razdan; zamani, Akhta, Akhti, Akhtala, Nizhniye Akhty, Nizhne Akhti, Nerkin Akhta, na Nizhnyaya Akhta) ni mji mkuu wa mkoa wa Kotayk huko nchini Armenia. Jina linatokana na jina la Kiajemi-cha-Kati Frazdan. Farzdan limeungana na hadithi ya Kiajemi ya Zoroastria. Mji una wakazi wapatao 42,150 na kuufanya uwe mji wa tano kwa ukubwa huko nchini Armenia kwa hesabu ya wingi wa wakazi. Wakati wa maiaka ya Wasovyeti ulikuwa moja kati ya miji yenye viwanda vingi katika orodha ya miji ya Jamhuri ya Armenia.

Mji wa Hrazdan

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hrazdan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.