Robin Erewa
Mshindani wa riadha wa Ujerumani
Robin Erewa (alizaliwa 24 Juni 1991) ni mwanariadha nchini Ujerumani ambaye alibobea katika mbio za mita 200. Alishiriki katika mashindano ya dunia mwaka 2015 huko Beijing bila kusonga mbele kutoka kwa raundi ya kwanza. Alizaliwa na baba Mnigeria, alicheza soka kwa mara ya kwanza kabla ya kubadili nakuwa mwanariadha akiwa na umri wa miaka 12.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Robin Erewa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |