Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha. Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika. Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi. Hakikisha unafollow ...
…
continue reading
Ongeza juhudi na kubadili Maisha yako
…
continue reading
Welcome to the Maisha Intentional podcast, where intentional things/conversations happen.
…
continue reading
Ujumbe wa Kutia Moyo na Mafundisho Mafupi Ya Neno La Mungu Kutoka Kwenye Biblia.
…
continue reading
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
…
continue reading
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
…
continue reading
Amateur historian and storyteller, Mara Safi, can't escape the strange intrigues of small towns and haunted houses. SEASON TWO out now. SEASON ONE: When a celebrated historian dies before finishing his last book, his granddaughter, Mara, picks up where he left off. But the more Mara investigates the strange and dark history surrounding the founders of a small Virginia town, the more she wonders if this particular story should have been left untold. Story and Editing by Maisha Razzaque. Follo ...
…
continue reading
Entertainment, Ministry and the Music Business
…
continue reading
Belief is at the root of everything we do- but did you ever wonder what was at the root of a belief? Can we exist without a belief?
…
continue reading
Karibu katika Podcast ya Swahili Tech ambapo utafahamu mengi kuhusiana na Teknolojia, social media, applications, simu, na vifaa tunavyotumia kila siku katika maisha yetu. Karibu sana na usiache ku-subscribe ili uoate infos kali.
…
continue reading
Afya yako ndio mtaji mkubwa ktk maisha yako. Watu wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa. Njoo nikushauri [email protected]
…
continue reading
Tutakuangazia Duniani kote, tukikupa habari, maoni, na mitazamo mbalimbali ju ya maswala ya maisha yetu ya kila siku kama Familia, Mahusiano, Elimu, Teknolojia,Michezo, sanaa, ubunifu, mavazi na mitindo Mafanikio, lengo letu ni kuelimisha, kuburudisha na kufundisha.
…
continue reading
Mambo wanayofanya wachina katika maisha ya kila siku, yanayohusu wachina wa kawaida, na yale yanayofuatiliwa na watu wa kawaida katika jamii.
…
continue reading
Which Witch Are You? is a podcast by Imani Sims and Maisha Manson, two qbipoc witches talking about drinks, sex, herbs, food and life ✨
…
continue reading
Featuring two friends navigating through the different perspectives of today's social, cultural and political issues. Join us - Maisha and Zarah - as we break down the them vs. us narrative with open and interesting conversations about these issues! Tune in every Monday for a new episode, starting September 23rd. Enjoy!
…
continue reading
@3sirenspodcast is where 3 women of color (@Maisha_d, @msfeesosweet, @cathyalvarez34) share their navigation of this ISH called life. It's the place where we say the things you think but can't always voice! Living, breathing juxtapositions sippin while dippin in and out of intellectual discord and pseudo pettiness. Give us a listen...
…
continue reading
Join disarmingly charming hosts Maisha and Hafsa as they deconstruct and discuss the unusual and the eerie. We talk movies, books, short stories, crime reports, poems, urban legends, TV shows, and more. Dark Tales: A Horror Podcast for Cowards is sure to leave you with a goosebump or two but definitely not too many. Find us on Twitter or Instagram @darktalespod. Direct all inquiries to [email protected]. If you're interested in who's Behind The Curtain, you can also find us @mshrzq and ...
…
continue reading
Hili ni Jukwaa linalowasaidia wajasiriamali wenye uchu wa mafanikio makubwa kama wewe, kupata wateja kirahisi mtandaoni. Nimetumia mbinu nyingi kuvutia wateja. Zipo zilizofaulu, na zilizofeli. Nime'Master zaidi zilizofaulu hatimaye internet imebadili maisha yangu. Kutoka 12,000 kwa siku, hadi Mil.3 kwa mwezi. Ungana nami hapa Ni'share nawe experience yangu. Ideas, mbinu na hata vitendea kazi ninavyotumia kupata mafanikio hayo. Hii ni njia yangu ya mafanikio (My path to success). Jifunze chuk ...
…
continue reading
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza kipindi cha Naweza | Radio Free Afrika kila Jumamosi saa 11 jioni | Radio TBC Taifa kila Jumapili saa 11:30 jioni | Radio One kila Jumamosi saa 2:15 usiku Kipindi cha Naweza Show kinaletwa kwenu na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma (HPS)
…
continue reading
Time to Hire brings in new perspectives to ensure the recruiting function remains relevant and forward looking. We talk to recruiting experts, HR tech founders, and anyone who brings unconventional ideas to help push the craft of recruiting forward. If you want to future proof yourself and increase your impact over time, through strategy, technology, and best practices this is the podcast for you.
…
continue reading
Faith found, faith lost, faith that takes us in unexpected directions. That’s the theme of ”Faith Outside the Box,” hosted by Jann Ingmire.
…
continue reading
Eleven Digital is the Digital Youth Forum dedicated to education in the field of the safe, creative and positive use of the Internet and new technologies. This is ‘Open Forum' aims to encourage dialogue and spread digital awareness on different issues by providing a platform on which ideas, creativity, thoughts and questions can be expressed and tackled in an open environment.
…
continue reading
…
continue reading
Ujumbe Muhimu Sana Kwa Wagonjwa Wa GOITA Kama wewe ni mgonjwa wa GOITA ambaye umekuwa unahangaika kwa muda mrefu na tatizo hilo bila ya kupata utatuzi wa uhakika basi naomba unisikilize kwa makini kabisa kwani huenda taarifa ifuatayo ikawa taarifa muhimu kuliko taarifa yoyote katika maisha yako. Baada ya kuwasaidia zaidia ya wagonjwa 200 wa GOITA nimekuja kugundua kuwa tiba ya ugojwa huo sio upasuaji tu kama madaktari wengi wanavyodai bali ni jambo ambalo ukilifahamu utaweza kuondokana na ta ...
…
continue reading
Al HUSNAA
…
continue reading
Fikra Tunduizi Kuelekea Mlango wa Hekima
…
continue reading
True stories with a little twist, lots of lessons and something new that you never knew. Mostly narrated in swahili, sheng' and a little english. Enjoy.
…
continue reading
God,youth and life connecting
…
continue reading
Inside Philadelphia sports with the Delaware Valley's most-respected team of sports reporters and broadcasters.
…
continue reading
Karibu Zsuper TV kwa habari za online kila wakati
…
continue reading
I hope to inspire,teach,entertain and train my beloved listeners through all that I have, the people I meet and the stories I share.Karibu Sana.
…
continue reading
Ninakukaribisha katika kujifunza Biblia
…
continue reading
She’s Bold is a podcast where we challenge traditions and mindsets limiting women in Africa. Najma the host, interviews phenomenal women in Tanzania and the diaspora to uncover, defy and lay a foundation for other women to break the barrier. It's what every woman in Africa should know. The new episode drops every Saturday.
…
continue reading
Asteria Connects is a podcast hosted by Asteria Mvungi, which shines a light on matters concerning Health (Mental Health and Nutrition) Socio-economic welfare and Spirituality.
…
continue reading
Daily Swahili radio programs from Adventist World Radio - Karibu katika matangazo ya kiswahili ya Redio ya Waadventista Ulimwenguni
…
continue reading
Host Mike Spencer gets to the core of some of the most controversial issues that bridge the gap between young and old generations alike. As The Black Cultural Tastemaker, change and elevating traditions is nothing new here; expect conversations and interviews revolved around black culture, pop culture, relationships, mental health, entrepreneurship and more. Tune in every week to find out who's Changing Our Lives next: remember #YOUkeepthechange!
…
continue reading
Hey Everyone 👋🏽, welcome to our podcast “Chaa er adda” we are childhood bestie (Ritu & Tanya) 💕. Our aim for this podcast is to talk about life in general and shed 🔦 light on few matters that often gets neglected. New episode every Sunday.
…
continue reading
Many people would achieve great things in life if they would know the proven principles and strategies to achieve their goals. Self-development is the key to your vision fulfillment. These episodes unveil to you the hidden secrets for success that many have used to bring a difference in their lives. Through this show you will learn how to discover your hidden abilities, how to maximize your potential, how to build successful habits, money & buisness skills, and personal leadership. See you a ...
…
continue reading

1
Je Unataka Kuwekeza Katika Hisa? Pata Elimu Ya Hisa Hapa-Part 01
8:29
8:29
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
8:29Je wewe ni mwanahisa na una hisa zozote unamiliki katika soko la DSE? Kama jibu lako ni hapana. Basi… Ndio muda sahihi wa kuanza kuwekeza katika hisa ili ufaidikie na faida kubwa mbili; 1. Ongezeko la mtaji (Capital gain). 2. kupata gawio (Divindend). Lakini… Kabla ya kutaka kuwekeza katika hisa hakikisha unakuwa na maarifa sahihi kuhusu hisa ili u…
…
continue reading

1
Historia ya muungano wa Tanganiyika na Zanzibar na msanii wa Burundi Tomson the Voice
20:09
20:09
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:09Karibu kuungana nami katika makala changu chako chako changu leo jumapili ambapo nakuletea Historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kwenye le parler francophone nitakujuza ratiba ya shughuli za kitamaduni Alliance francaise ya Nairobi, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Thomson the voice kutoka nchini Burundi, mimi ni Ali Bilali, bienv…
…
continue reading

1
Tanzania: Tunamuangazia Samir Kassim Rashid maarufu Samir Kinyulinyuli
20:17
20:17
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:17Samir Kassim Rashid maarufu Samir Kinyulinyuli ni Msanii wa Sanaa ya Muziki aliyelazimika kukimbilia Dar es salaam akitokea Morogoro ili kufanikiwa kisanaa, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa ya Jumahili.By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Article Read - Job Descriptions Built for Hiring, Performance, and Business Success by Will Ducey
13:22
13:22
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
13:22This is an article read by author Will Ducey titled Job Descriptions Built for Hiring, Performance, and Business Success. https://www.willducey.xyz/job-descriptions-built-for-hiring-performance-and-business-success/ Music by Hotham Stream: linktr.ee/hothammusic Free Download: hypeddit.com/hotham/oneday…
…
continue reading

1
Changu Chako Chako Changu mahakama ya jadi kutoka kabila la Wameru sehemu ya kwanza
20:02
20:02
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:02Kwenye makala haya utapata kufahamu mahakama hii ya Jadi nchini Kenya kutoka Kabila la Wameru ambayo inakubalika na serikali katika utatuzi wa mizozo mbalimbali kutoka jamii ya wameru. Utapa pia kufahamu historia ya msanii kutoka nchini Ufaransa Hiro le Coq.By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Utengenezaji wa filamu katika eneo la mashariki mwa DRC
20:19
20:19
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:19Makala ya nyumba ya sanaa inaangazia utengenezaji wa filamu, mabadiliko ya ubunifu wa filamu unaoendana na teknolojia ya kisasa. Mbali na utovu wa usalama eneo la Beni mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, vijana pia wamekuwa wakijitahidi katika kufanikisha namna ya kuwapa burudani ya filamu…
…
continue reading

1
Mchango wa wasanii wa Beni DRC katika juhudi za kuimarisha usalama
20:02
20:02
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:02Nyumba ya sanaa juma hili imekutana na wasanii wa mjini Beni mkoani Kivu kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ambao wamekuwa wakihimiza amani katika nyimbo zao, sanaa ya muziki ikikaribishwa kwa kiasi kikubwa na watu kutoka rika zote nchini na nje ya nchi. Mwenzangu Ruben Lukumbuka hivi karibuni alikutana na msanii wa Beni masha…
…
continue reading

1
Tunazungumza na msani B2K kutoka Njombe kusini mwa Tanzania
20:03
20:03
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:03Sanaa ya Muziki Nyanda za Juu kusini mwa Tanzania, ni sanaa inayokua kwa kasi vijana wanawekeza kulifikia soko la Muziki Afrika Mashariki, B2K ni Msanii anayekonga Nyoyo za Wasichana zaidi kutokana na Tungo zake, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na B2K kutoka Njombe.…
…
continue reading

1
Historia ya Jumuiya ya nchi zinazo zungumza lugha ya Kifaransa, Francophonie
19:58
19:58
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:58Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya Changu Chako Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, Utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya siku ya kimataifa ya nchi zinazozungumza lugha ya Kifaransa, ama Organisation internationale de la francophonie. Nitakuletea pia ra…
…
continue reading

1
"Fursa za Teknolojia 2025: Ujuzi Wa Kidijitali Utakaokufungulia Milango"
9:15
9:15
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:15Fursa za Teknolojia 2025: Ujuzi wa kidijitali kutoka AI hadi Cybersecurity, tunachambua mustakabali wa kidijitali na fursa zake. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikilizaHosted By Jackline Francis & Maria Ukhotya Producer Jeremiah Ombelo Instagram: eleven_digital255Facebook: eleven_digital255LinkedIn: eleven_digital255 #TechTrends2025 #…
…
continue reading

1
Historia ya siku ya wanawake duniani machi 8 kila mwaka
19:59
19:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:59Katika Makala haya mtangazji wa ko Ali Bilali anakuletea Historia ya siku ya wanawake duniani ambayo husherehekewa kila ifikapo machi 8 ya kila mwakaBy RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Historia ya mkutano wa Berlin sehemu ya pili March 2 2025
19:58
19:58
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:58Makala haya, mtangazaji wako anakuletea sehemu ya pili ya historia ya mkutano wa BerlinBy RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Historia ya mkutano wa Berlin sehemu ya kwanza Feb 23 2025
30:09
30:09
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
30:09Makala haya yanazungumzia historia ya mkutano wa BerlinBy RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Ajira itokanayo na sanaa ya uchoraji visiwani Zanzibar
20:10
20:10
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:10Uchoraji ni Ajira ,Wasanii wa sanaa hii Zanzibar wananeemeka na kazi zao, Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Obedience na Muki kutoka Zanzibar.By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Maisha Handy, McCormick Theological Seminary's New President
19:57
19:57
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:57Host Jann Ingmire talks with Rev. Dr. Maisha Handy about her spiritual journey from Chicago to Atlanta and back again, inspired by a love for gospel music and Beyoncé, and a passion for youth ministry. Dr. Handy was recently installed as the twelfth president of McCormick Theological Seminary in Hyde Park. Support our programming! Visit our website…
…
continue reading

1
Siri 02 Za Kuanza KUJIUZA Ili Ufanikiwe Kwenye Maisha Yako Ni Kujiuza…!
7:07
7:07
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
7:07Jifunze mbinu za Kujiuza kupitia episode ili upige hatua kwenye maisha yako. Sikiliza mpaka mwisho episode hii.
…
continue reading
Muziki wa kizazi kipya Zanzibar umedorora ukilinganisha na hali ilivyo Tanzania BaraBy RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Tumia Kanuni Ya 40/20/10/10/10/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako…!
10:46
10:46
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:46Kanuni ya 40/20/10/10/10 itakusaidia kuanza kupanga bajeti ya fedha zako kwa mafanikio. Sikiliza episode hii mpaka mwisho kujifunza.
…
continue reading

1
Wanawake, Mapinduzi Na Teknolojia: Mahojiano Maalum na Asha Abinallah
7:18
7:18
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
7:18Katika #ElevenDigitalThePodcast, tunazungumzia nafasi ya wanawake katika teknolojia, changamoto wanazokutana nazo, na jinsi ya kuwawezesha zaidi. Je, jamii inaweza kufanya nini kusaidia wasichana wengi zaidi kuingia kwenye teknolojia? Sikiliza podcast yetu kwa maarifa na msukumo zaidi! 🎙️ #WomenInTech #DigitalRevolution 📲 Instagram | Facebook | Lin…
…
continue reading

1
Sanaa ya uchoraji katika Visiwa vya Zanzibar
20:16
20:16
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:16Wachoraji visiwani Zanzibar walia na gharama za kupata maeneo ya kunadi kazi zao za Sanaa hiyo, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Mchoraji maarufu visiwani humo Jamal.By RFI Kiswahili
…
continue reading
Music is central to worship at the First United Methodist Church at the Chicago Temple, and Erik Nussbaum is at the heart of the church’s music ministry. Erik shares his faith journey from a small rural Episcopal church to becoming The Chicago Temple's Director of Music and the Arts. Support our programming! Visit our website to make a tax-deductib…
…
continue reading

1
Muziki wa Taarab na Zanzibar Hertage Ensemble
20:13
20:13
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:13Taarab Asilia ni Miongoni mwa Miziki ya kale zaidi katika Mwambao mwa Bahari ya Hindi, Zanzibar Taarab Hertage Ensemble ni miongoni mwa Makundi ya Muziki huo kutoka Visiwani Zanzibar, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.By RFI Kiswahili
…
continue reading
Jhony Arango grew up in Colombia, a country with a history of civil unrest, political violence, and military oppression. At a young age, Jhony chose a path of peace, becoming a conscientious objector to Colombia’s obligatory military service. In 2019, he joined Community Peacemaker Teams, which has its roots in the historic peace churches of North …
…
continue reading

1
Historia ya maisha ya Cassypool hadi kuwa Chawa wa marais
19:59
19:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:59Katika Makala haya, mtangazaji wako Ali Bilali anazungumza na Cassypool mwanamitandao na muhamasishaji kutoka nchini Kenya, ambae amejizolea umaharufu kupitia kile alichokiita tasnia ya uchawa, ambapo anaeleza kuwa chawa wa rais wa Kenya William Ruto na sasa ni chawa wa rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kumbuka pia kutufollow kwa instagram @bil…
…
continue reading

1
Rev. Young-Mee Park's Globe-Trotting Spiritual Journey
22:21
22:21
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
22:21Rev. Dr. Young-Mee Park has traveled the globe and experienced the enormous range of faith expression in the modern church. She's currently the Senior Interim Pastor of the historic First United Methodist Church at the Chicago Temple. Support our programming! Visit our website to make a tax-deductible contribution today. Faith Outside the Box is a …
…
continue reading

1
Tamasha la Sauti za Busara linalofanyika kila mwezi Februari Zanzibar
20:13
20:13
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:13Wasanii wa Muziki Afrika na Duniani kote wanakutana visiwani Zanzibar kufurahia uzuri na Upekee wa Muziki, wageni mbalimbali hukusanyika kushuhudia Tamasha la Sauti za Busara kila ifikao mwezi Februari.By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Siri 02 Za Kuwa Mwekaji Mzuri Wa Akiba Ya Fedha Zako…!
6:51
6:51
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
6:51Upo tayari kujua Siri za kuwa mwekaji mzuri wa akiba za fedha zako? Basi sikiliza episode hii mpaka mwisho
…
continue reading

1
Historia ya kabila la Wakalejin,Sanaa ya Kuigiza ya African Twist Pamoja na Historia yake Yemi Alade
19:55
19:55
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:55Makala ya Changu Chako ,chako Changu hii leo yanaangazia historia na tamaduni za kabila la Wakalenjin kutokea Kenya.Kisha kwenye kipengele cha Leorparle Francophone tutangaazia maonyesho kuhusu mabadiliko yaliyofanyika kwenye muziki kuanzia miaka ya 1960 alafu kwenye kipengele chetu ya mwisho cha Muziki tutamuangazia mwanamuziki Yemi Alade.…
…
continue reading

1
Sehemu 06 Za Kuanza Kuwekeza Fedha Zako Kwa Mafanikio…!
15:22
15:22
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
15:22Hizi sehemu 06 ambazo unaweza kuanza kuwekeza akiba yako ili ikuzalishie zaidi.
…
continue reading

1
Mfahamu Leo Mkanyia Mwanamuziki wa Muziki wa Asili kutoka Tanzania
20:10
20:10
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:10Wanamuziki wa Muziki wa asili wamebadili vionjo vya asili wakijumuisha na vionjo vya Kisasa ili kuupaisha Muziki Kimataifa, Steven Mumbi amezungumza na Leo Mkanyia Mwanamuziki wa Muziki wa Asili kutoka TanzaniaBy RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Lori Petrie and Ellie Simpson-Falck, Young Environmental Activists
26:44
26:44
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
26:44Lori Petrie and Ellie Simpson-Falck share their faith journeys from growing up in conservative evangelical churches to becoming Eco-Justice Young Adult Fellows for the Episcopal Church. Support our programming! Visit our website to make a tax-deductible contribution today. Faith Outside the Box is a production of the Greater Chicago Broadcast Minis…
…
continue reading

1
Jinsi Ya Kuweka Akiba Kwa Mafanikio Mwaka 2025…!
11:16
11:16
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
11:16Je unataka kujua kwa namna gani unaweza kuweka akiba kwa mafanikio mwaka 2025? Episode hii itakueleza mbinu 04 ambazo ukianza kuzifanyia kazi basi utakuwa mwekaji mzuri wa akiba. Usikubali mwaka 2025 uishe bila ya kuweka akiba. Kwa sababu… Kama wao wanaweza kwanini wewe ushindwe? Jibu kwamba unaweza kama utafanyia kazi maarifa ambayo utajifunza kat…
…
continue reading

1
Tanzania: Utunzi wa vitabu na Sikudhani Mohamed Jalala
20:00
20:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:00By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Waskilizaji wa RFI kiswahili watakiana heri ya mwaka mpya kupitia Makala Changu Chako
20:02
20:02
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:02Katika Makala haya ya kwanza kabisa ya mwaka 2025, mtangazaji wako asiependa makuu Ali Bilali anakupa fursa ya kuwatakia heri ya mwaka mpya ndugu jamaa na marafiki.By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Makala ya mwisho katika mwaka 2024, salamu wa wasikilizaji na msanii Isifiwe Kibangula
20:03
20:03
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:03Heri ya mwaka mpya msikilizaji wa RFI Kiswahili popte pale ulipo. Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu ninakukaribisha katika makala haya ya mwishgo kabisa changu chako chako changu katika mwaka 2024. Leo nakukumbusha mada kadhaa zilizo zungumziwa mwaka 2024, lakini pia ninapokea salam zako za mwaka mpya wa 2024, na kwenye Muziki nitakuletea …
…
continue reading

1
Historia ya kabila la Wamasai ,Sanaa ya Uchoraji na Historia ya Muziki wake Burna Boy
20:04
20:04
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:04Makala ya changu chako ,chako changu,hii leo utaskia historia ya kabila la wamasai wanaopatikana AFrika hasaa kenya na Tanzania,kisha kwenye kipengele cha pili utaskia maonyesho ya Sanaa ya uchoraji yanayoendelea katika ukumbi wa Alliance Francaise na mwisho kabisaa katika kipengele cha muziki makala haya yataangazia historia yake mwanamuziki kwa j…
…
continue reading

1
Historia ya Kenya kupata Uhuru pamoja na Maonyesho ya Sanaa ya Uchoraji Alliance Francaise Nairobi
19:53
19:53
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:53Makala haya yataangazia Historia ya nchi ya Kenya na jinsi ilivyopata Uhuru,kwenye kipengele cha pili utaskia safari ya vijana wanaofanya sanaa ya Uchoraji kutoka shirika lisilo la kiserikali la Uweza Art Gallery na mwisho kabisa kwenye kipengele cha historia ya mwanamuziki utaskia historia yake Juma Jux kutokea Tanzania.…
…
continue reading

1
Teknolojia yabadilisha muziki ,Ujio wake Msanii Sean Paul nchini Kenya
19:49
19:49
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:49Tutaangazia historia ya muziki wa Afrika, tukiangalia mabadiliko makubwa yaliyotokea kabla na baada ya kuibuka kwa teknolojia. Muziki wa Afrika ni sehemu muhimu ya utamaduni wetu, na umetumika kwa karne nyingi kama njia ya kuwasiliana, kusherehekea, na kuponya.By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Changamoto za wanamuziki wa kizazi kipya wanaochipukia nchini Tanzania
20:04
20:04
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:04Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya wanaochipukia nchini Tanzania walalama kutakwa Kimapenzi wa Watayarishaji wa Muziki, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akiwa na Zainisha Nokolage maarufu Zainisha.By RFI Kiswahili
…
continue reading
As a boy growing up on Chicago’s south side in the 1940s and 50s, Don Bell could have never foreseen his life journey. He witnessed the impact of racism and the power of the civil rights movement. During college, he accepted his sexual identity. Now, as a senior, he advocates for LGBTQ seniors and promotes intergenerational dialogue. Don now lives …
…
continue reading

1
Hatuwa za mwisho za maandalizi ya tamasha la watu wa kabila la bashi la desemba 6
20:03
20:03
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:03Uhusiano baina ya lugha na utamaduni, mila na mirathi ya jamii kwa jumla huenda ukafahamika angalau kwa wepesi, iwapo tutazingatia mambo kadhaa ikiwemo lugha na matumizi yake, tabia, utu, utamaduni, mila,mitindo na mengineo. Watu wa kabila la washi mashariki mwa DRC wameandaa tamasha la kutambulisha utamaduni wao, ambalo ni msimu wa pili na limepan…
…
continue reading

1
Msani Olivier kutoka Bukavu azungumzia tamasha la watu wa kabila la washi Nov 24 2024
19:56
19:56
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:56Makala haya Ali Bilali anazungumza na msanii Oliver wa nyimbo za asili ya washi wahavu mashariki mwa DRC kuelekea tamasha la Bushi ama Festival de Bushi. Asante kwa kuendelea kuwa muaminifu kwa radio yako na kwa mtangazaji wako asiependa makuu unaweza kumfollow kwa kubonyeza hapa Billy BilaliBy RFI Kiswahili
…
continue reading
Sanaa ya Muziki wa asili ni miongoni mwa sanaa zinazokua kwa kasi nchini Tanzania, Kutana na kundi la Sanaa lililowika katika majukwaa ya kimataifa wakiwa na bendi ya kipekee katika makala ya Nyumba ya Sanaa.By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Maandalizi ya Tamasha la watu wa Kabila la Washi kutoka Bukavu sehemu ya kwanza.
20:01
20:01
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:01By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Sanaa ya Uchongaji Vinyago nchini Tanzania
20:09
20:09
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:09Steven Mumbi amezungumza na Lyala Sebastian Mchongaji wa Sanaa za Vinyago.By RFI Kiswahili
…
continue reading
Myron McCoy has come a long way from his childhood in New Jersey to serving in churches, as a seminary president, in positions with the United Methodist denomination, and finally, as Senior Pastor of the First United Methodist Church at the Chicago Temple. Jann Ingmire talks with Rev. McCoy on the eve of his retirement. Support our programming! Vis…
…
continue reading

1
Shindano la filamu kwa kutumia simu ya Mkononi na msanii kutoka Mombasa Rojo Mo
19:58
19:58
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:58Karibu katika makala changu chako chako changu Jumapili yaleo ambapo tutakijita zaidi kwenye matokeo ya shindano la kutengeneza filamu kwa kutumia simu ya mkononi liliooandaliwa na Alliance Francaise ya Nairobi nchini Kenya na kwenye Muziki tutakuwa naye msanii kutoka Mombasa Rojo Mo. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu, restons ensemble mwanzo…
…
continue reading

1
Sanaa ya uchoraji wa vinyago na fursa wa biashara inazoleta
20:13
20:13
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:13Wabunifu wa Sanaa ya Uchongaji Vinyago wamewekeza katika kung'amua fursa ya biashara kwa Mataifa ya Afrika Mashariki ili kujikwamua na vipato Duni, Steven Mumbi amezungumza na Mintanga Ramadhani Msanii wa Sanaa za Uchongaji Vinyago kutoka nchini Tanzania.By RFI Kiswahili
…
continue reading

1
Alliance Francaise ya Nairobi inavyoikuza sanaa ya uigizaji jukwaani sehemu ya kwanza.
19:55
19:55
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:55Katika Makala haya Ali Bilali amejielekeza Alliance Francaise ya Nairobi ambayo imeandaa Onyesho la Kwanza la tamthilia ya ‘Mgonjwa Mwitu’, utayarishaji wao wa kila mwaka wa maigizo yaliyotolewa na tamthilia za waandishi mashuhuri wa Ufaransa. Kwa maadhimisho ya miaka 75, chaguo ni 'Le Malade Imaginaire' na Molière. Hii ni comedy ya mwisho kuandikw…
…
continue reading

1
Fahamu hapa kuhusu liliokuwa soko la watumwa nchini DRC Oct 20 2024
20:09
20:09
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:09Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu, ambapo Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu ameungana na Denise Maheho kutoka Lubumbashi kuzungumzia kuhusu iliokuwa barabara ya watumwa zama za ukoloni. Kumbuka pia kutuachia comment na kumfollow mtangazaji wako asiependa makuu @billy_Bilali kwenye mitandao yake ya kijamii Instagram na facebook…
…
continue reading