Moravia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Badiliko: vi:Morava |
The coat of arms of Moravia. Moravian eagle. Appropriate shape of the figure in relation to the shape of the shield. |
||
(marekebisho 13 ya kati na watumizi wengine 10 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 1:
[[Picha:
[[Picha:
| first = Zbyšek
| last = Svoboda
| first2 = Pavel
| last2 = Fojtík
| first3 = Petr
| last3 = Exner
| first4 = Jaroslav
| last4 = Martykán
| authorlink =
| coauthors =
| title = Odborné vexilologické stanovisko k moravské vlajce
| booktitle = Vexilologie. Zpravodaj České vexilologické společnosti, o.s. č. 169
| pages = 3319, 3320
| publisher = Česká vexilologická společnost
| date = 2013
| location = Brno
| url = http://www.moravska-vlajka.eu/dokumenty/vexilologie-169.pdf
| accessdate =
| id =
| archivedate = 2019-09-24
| archiveurl = https://web.archive.org/web/20190924150044/http://www.moravska-vlajka.eu/dokumenty/vexilologie-169.pdf
}}</ref><ref>{{cite conference
| first = František
| last = Pícha
| authorlink =
| coauthors =
| title = Znaky a prapory v kronice Ottokara Štýrského
| booktitle = Vexilologie. Zpravodaj České vexilologické společnosti, o.s. č. 169
| pages = 3320-3324
| publisher = Česká vexilologická společnost
| date = 2013
| location = Brno
| url = http://www.moravska-vlajka.eu/dokumenty/vexilologie-169.pdf
| accessdate =
| id =
| archivedate = 2019-09-24
| archiveurl = https://web.archive.org/web/20190924150044/http://www.moravska-vlajka.eu/dokumenty/vexilologie-169.pdf
}}</ref>]]
[[Picha:CZ-cleneni-Morava-wl.png|thumb|250px|Moravia katika jamhuri ya Ucheki]]
'''Moravia''' (kwa [[Kicheki]] na [[Kislovakia]]: ''Morava''; kwa [[Kijerumani]]: Mähren; kwa [[Kihungaria]]: Morvaország; kwa [[Kipoland]]: Morawy) ni [[mkoa]] wa [[Historia|kihistoria]] [[mashariki]] mwa [[Ucheki]].
[[Jina]] limetokana na [[mto Morava]]. Jina la Moravia linatumiwa na [[Kanisa]] la [[Kiprotestanti]] linalojulikana katika nchi nyingi kama "[[Kanisa la Moravian]]".
Pamoja na [[Bohemia]] eneo la Moravia ni sehemu muhimu ya Ucheki
[[Mji mkuu]] wa Moravia ni [[mji]] wa [[Brno]] ([[Kijer.]]: Brünn).
==Historia==
Moravia imekaliwa na [[makabila]] ya [[Waslavoni]] tangu [[karne ya 6]].
Katika [[karne
Baadaye [[watawala]] wa Bohemia na Moravia walialika [[Wajerumani]] kuhamia na kuunda miji na [[vijiji]]. Hivyo takriban 1/3 ya wakazi wa Moravia waliongea [[Kijerumani]] hadi mwaka [[1945]] wakati Wajerumani walipofukuzwa katika Chekoslovakia.
Katika [[karne]] zilizofuata Moravia ilikuwa chini ya athira ya [[Poland]] au [[Ujerumani]] ikaendelea kuwa sehemu ya [[Dola Takatifu la Kiroma]] na tangu mwaka [[1526]] chini ya [[utawala]] wa [[familia]] ya [[Habsburg]] na baadaye ilitawaliwa kama sehemu ya [[milki]] ya [[Austria]].
Wakati wa kusambaratishwa kwa [[Austria-Hungaria]] mwaka [[1918]] Moravia ilifanywa sehemu ya nchi ya Chekoslovakia na tangu mwaka [[1993]] ya Ucheki.
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
[[Jamii:Ucheki]]
[[Jamii:Dola Takatifu la Kiroma]]
|