Mto : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imebadilisha: lez:ВацӀ |
|||
(marekebisho 29 ya kati na watumizi wengine 16 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 1:
[[Picha:Egypt_Nil.jpg|thumb|400px|Mto
'''Mto''' ni mwendo asilia wa [[maji]] yanayofuata [[njia]] yake kwenye mtelemko hadi [[Mdomo|mdomoni]] wake.
== Chanzo ==
[[Picha:Nandala.jpg|300px|thumb|Chemichemi ]]
[[Chanzo (mto)|Chanzo cha mto]] mara nyingi ni [[chemchemi]] au [[ziwa]] au maungano ya vijito vidogo. Mto hufuata mwendo wake kwa mtelemko hadi mwisho wake [[Bahari|baharini]] au ziwani au kwa mto mwingine. Kama mto ni mdogo huitwa [[kijito]]. Mto mkubwa sana kama [[Kongo (mto)|Kongo]] au [[Nile]] unaweza kuitwa mto mkubwa au jito.
== Lalio chini ya mto ==
Njiani
== Mdomo na delta ==
[[Picha:Nile River and delta from orbit.jpg|thumb|right|300px|Delta ya [[Mto Nile]] inavyoonekana kutoka [[Anga|angani]] - picha ya [[NASA]].]]
Mwisho wa mto huitwa mdomo. Mdomoni kwa kawaida mto huishia katika [[gimba]] kubwa zaidi ya maji, ama mto mkubwa au [[ziwa]] au [[bahari]].
Mdomo huo unaweza kuwa mpana kama kijazio hasa baharini ambako bahari inapanuka wakati wa [[maji kujaa]].
Mito mingine inaonyesha mdomo wa [[delta]] kama imegawanyika mdomoni kuwa na [[mikono]] mingi inayoelekea bahari kwa [[umbo]] la [[pembetatu]].
==
Njiani mito mingi inaunganika kuwa mito mikubwa zaidi. Ni [[desturi]] kutumia [[jina]] la mto ulio mkubwa zaidi mahali pa kuungana kwa ajili ya sehemu inayofuata ya mto uliopanuka.
Kwa mfano mito ya [[Ubangi (mto|Ubangi]] na [[Kongo (mto)|Kongo]]
Wakati mwingine ni swali la uzoefu tu jinsi ya kutaja mto; Kongo inaitwa [[Lualaba]] hadi mji wa [[Kisangani]]. [[Wataalamu]] wengine wanasema ya kwamba mto [[Kagera (mto|Kagera]] ingestahili kuitwa "Nile" kwa sababu ni mto uleule
Kuna pia uzoefu ambako jina la mto mdogo linaendelea
== Beseni ==
[[Picha:Karte der Einzugsgebiete der großen Gewässer Afrikas.png|thumb|300px|[[Ramani]] ya beseni kubwa kwenye bara la Afrika ''(tahajia ya Kijerumani)''.]]
Jumla ya eneo ambako matawimito yote hadi vijito asilia kabisa vinaanza na kupokea maji yake huitwa [[beseni ya mto|beseni]]. Sehemu kubwa ya [[Tanzania]] ya [[kaskazini]]-[[magharibi]] pamoja na [[Kenya]] magharibi ni sehemu ya beseni la [[Nile]] kwa sababu [[tone|matone]] ya [[mvua]] kama yanafika mtoni yote huelekea ziwa [[Viktoria Nyanza]] na kuingia mto Nile kwenda bahari ya [[Mediteranea]].
Sehemu kubwa zaidi ya [[Afrika ya Mashariki]] inapeleka maji kwenda mabeseni ya [[Rufiji (mto)|Rufiji]], [[Ruvuma (mto)|Ruvuma]], [[Ruaha Mkuu]] au [[mto Tana]] ambayo yote inaishia katika [[Bahari Hindi]].
Mipaka kati ya beseni huitwa [[tengamaji]]. Tengamaji kwa kawaida ni eneo la juu ambako upande mmoja maji hutelemka kuelekea beseni moja na upande mwingine kwenda beseni tofauti. Kwa mfano tengamaji kati ya mabeseni ya Ruaha Mkuu na [[Mto Zambezi]] (kupitia [[Ziwa Nyasa]]) inafuata [[milima]] ya [[Milima ya Uporoto|Uporoto]] na [[milima ya Kipengere]].
== Mito katika dura ya maji duniani ==
Mito inabeba kiasi kikubwa cha maji ya mvua ikirudi baharini katika [[dura ya maji]] duniani.
Maji ya mtoni ni maji matamu, tofauti na [[maji ya
Watu huona faida zaidi kwa sababu mito mikubwa na majito inafaa pia kwa [[usafiri]]. [[Historia|Kihistoria]] mito ilikuwa kati ya njia za kwanza kabisa za [[mawasiliano]] kati ya maeneo ya mbali.
== Mito kumi mirefu duniani ==
Kadirio ya [[urefu]] wa mto hutegemea jinsi ya kuhesabu
# 6.671 km - [[Nile]]: [[Luvironza]]-[[Mto Ruvuvu|Ruvuvu]]-[[mto Ruvusu|Ruvusu]]-[[Kagera (mto)|Kagera]]-[[Nile Nyeupe]]-Nile - ([[Afrika]])
# 6.387 km - [[Amazonas (mto)|Amazonas]]: [[Apurimac]]-[[Ene]]-[[Tambo]]-[[Ucayali]]-Amazonas - ([[Amerika ya Kusini]])
# 6.380 km - [[Yangtse|Yangtse (Cháng Jiāng)]] - ([[Asia]])
# 6.051 km - [[Mississippi (mto)|Mississippi]]-[[Missouri (mto)|Missouri]] - ([[Amerika ya Kaskazini]])
Line 50 ⟶ 56:
# 4.374 km - [[Kongo (mto)|Kongo]] - (Afrika)
==Mito nje ya dunia==
Mito inaweza kupatikana pia kwenye [[sayari]] nyingine zenye [[kiowevu]]. Maziwa na mito imegunduliwa kwenye [[Mwezi (gimba la angani)|mwezi]] [[Titan (Zohali)|Titan]] wa sayari [[Zohali]]. [[Angahewa]] ya Titan haina maji, ni karibu yote [[nitrojeni]]. Kiowevu ya maziwa na mito yake inaaminiwa kuwa [[methani]] na [[hidrokaboni]] nyingine zinazotokea duniani kama [[gesi]] lakini kwenye [[baridi]] ya Titan hupatikana kama kiowevu.
[[Chombo cha angani]] [[Cassini–Huygens|Cassini]] ya [[NASA]] ilituma [[picha]] ya mto wa Titan wenye urefu wa [[kilomita]] 400. <ref>http://www.space.com/18875-titan-nile-river-cassini.html</ref>
== Viungo ==
[[Mito mirefu ya Afrika]]
==Marejeo==
{{Reflist}}
{{mbegu-jio}}
[[Jamii:Mito|*]]
|