Mto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza ln:Motíma
 
(marekebisho 23 ya kati na watumizi wengine 12 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1:
[[Picha:Egypt_Nil.jpg|thumb|400px|Mto wa Nile nchini Misri.]]
'''Mto''' ni mwendo asilia wa [[maji]] yanayofuata [[njia]] yake kwenye mtelemko hadi [[Mdomo|mdomoni]] wake.
 
== Chanzo ==
[[Picha:Nandala.jpg|300px|thumb|Chemichemi ]]
Chanzo cha mto mara nyingi ni chemchemi au ziwa au maungano ya vijito vidogo. Mto hufuata mwendo wake kwa mtelemko hadi mwisho wake baharini au ziwani au kwa mto mwingine. Kama mto ni mdogo huitwa kijito. Mto mkubwa sana kama Kongo au Nile unaweza kuitwa mto mkubwa au jito.
[[Chanzo (mto)|Chanzo cha mto]] mara nyingi ni [[chemchemi]] au [[ziwa]] au maungano ya vijito vidogo. Mto hufuata mwendo wake kwa mtelemko hadi mwisho wake [[Bahari|baharini]] au ziwani au kwa mto mwingine. Kama mto ni mdogo huitwa [[kijito]]. Mto mkubwa sana kama [[Kongo (mto)|Kongo]] au [[Nile]] unaweza kuitwa mto mkubwa au jito.
 
== Lalio chini ya mto ==
Njiani yakemwake mto huwa umechimba lalio linalofanana na [[mfereji]] kati ya [[udongo]] au [[mawe]] ya kingo zake. [[Nguvu]] ya kusogeza maji mtoni ni [[uvutano]] wa [[dunia]].
 
== Mdomo na delta ==
[[Picha:Nile River and delta from orbit.jpg|thumb|right|300px|Delta ya [[Mto Nile]] inavyoonekana kutoka [[Anga|angani]] - picha ya [[NASA]].]]
Mwisho wa mto huitwa mdomo. Mdomoni kwa kawaida mto huishia katika gimba kubwa zaidi ya maji, ama mto mkubwa au [[ziwa]] au [[bahari]].
Mwisho wa mto huitwa mdomo. Mdomoni kwa kawaida mto huishia katika [[gimba]] kubwa zaidi ya maji, ama mto mkubwa au [[ziwa]] au [[bahari]].
Mdomo huu unaweza kuwa pana kama kijazio hasa baharini ambako bahari inapanuka wakati wa [[maji kujaa]].
Mdomo huo unaweza kuwa mpana kama kijazio hasa baharini ambako bahari inapanuka wakati wa [[maji kujaa]].
 
Mito mingine inaonyesha mdomo wa [[delta]] kama imegawanyika mdomoni kuwa na [[mikono]] mingi inayoelekea bahari kwa [[umbo]] la [[pembetatu]].
 
== TawimitoMatawimito na jinamajina ==
Njiani mito mingi inaunganika kuwa mito mikubwa zaidi. Ni [[desturi]] kutumia [[jina]] la mto ulio mkubwa zaidi mahali pa kuungana kwa ajili ya sehemu inayofuata ya mto uliopanuka.
 
Kwa mfano mito ya [[Ubangi (mto|Ubangi]] na [[Kongo (mto)|Kongo]] zinakutanainakutana kwakwenye [[mji]] wa [[Mbandaka]]. HapaHuko Kongo ni mto mkubwa kushinda Ubangi; piahivyo baada ya Mbandaka kuelekea bahari mto unaendelea kuitwa "Kongo".
 
Wakati mwingine ni swali la uzoefu tu jinsi ya kutaja mto; Kongo inaitwa [[Lualaba]] hadi mji wa [[Kisangani]]. [[Wataalamu]] wengine wanasema ya kwamba mto [[Kagera (mto|Kagera]] ingestahili kuitwa "Nile" kwa sababu ni mto uleule unapitaunaopita tu kwenye ziwa [[Viktoria Nyanza]].
 
Kuna pia uzoefu ambako jina la mto mdogo linaendelea kutumikwakutumika. [[Mto Ruvuma]] unatoka [[Songea]] na kufuata mpaka wa [[Tanzania]] na [[Msumbiji]]. InakutanaUnakutana na [[mto Lujenda]] ambayoambao ni mto mkubwa zaidi; inawezekana kusema ya kwamba Ruvuma inaingia Lujenda lakini jina la Ruvuma linatumika hadi mdomoni.
 
MitoMto midogomdogo zaidi inayojiungaunaojiunga na mto fulani mkubwa huitwa [[tawimitotawimto]].
 
== Beseni ==
[[Picha:Karte der Einzugsgebiete der großen Gewässer Afrikas.png|thumb|300px|[[Ramani]] ya beseni kubwa kwenye bara la Afrika ''(tahajia ya Kijerumani)''.]]
Jumla ya eneo ambako tawimito yote hata vijito asilia kabisa zinaanza na kupokea maji yao huitwa [[beseni ya mto]]. Sehemu kubwa ya Tanzania ya kaskazini-magharibi ni sehemu ya beseni ya Nile kwa sababu matone ya mvua kama yanafika mtoni yote huelekea ziwa Viktoria Nyanza na kuingia mto Nile kwenda bahari ya [[Mediteranea]].
Jumla ya eneo ambako matawimito yote hadi vijito asilia kabisa vinaanza na kupokea maji yake huitwa [[beseni ya mto|beseni]]. Sehemu kubwa ya [[Tanzania]] ya [[kaskazini]]-[[magharibi]] pamoja na [[Kenya]] magharibi ni sehemu ya beseni la [[Nile]] kwa sababu [[tone|matone]] ya [[mvua]] kama yanafika mtoni yote huelekea ziwa [[Viktoria Nyanza]] na kuingia mto Nile kwenda bahari ya [[Mediteranea]].
 
Sehemu kubwa zaidi ya [[Afrika ya Mashariki]] inapeleka maji kwenda mabeseni ya [[Rufiji (mto)|Rufiji]], [[Ruvuma (mto)|Ruvuma]], [[Ruaha Mkuu]] au [[mto Tana]] ambayo yote inaishia katika [[Bahari Hindi]].
 
Mipaka kati ya beseni huitwa [[tengamaji]]. Tengamaji kwa kawaida ni eneo la juu ambako upande mmoja maji hutelemka kuelekea beseni moja na upande mwingine kwenda beseni tofauti. Kwa mfano tengamaji kati ya mabeseni ya Ruaha Mkuu na [[Mto Zambezi]] (kupitia [[Ziwa Nyasa]]) inafuata [[milima]] ya [[Milima ya Uporoto|Uporoto]] na [[milima ya Kipengere]].
 
== Mito katika dura ya maji duniani ==
Mito inabeba kiasi kikubwa cha maji ya mvua ikirudi baharini katika [[dura ya maji]] duniani.
 
Maji ya mtoni ni maji matamu, tofauti na [[maji ya chimvichumvi]] ya baharini. Hii ni sababu ya kwamba [[mimea]], [[wanyama]] na [[watu]] hupenda kukaa karibu na mito.
 
Watu huona faida zaidi kwa sababu mito mikubwa na majito inafaa pia kwa [[usafiri]]. [[Historia|Kihistoria]] mito ilikuwa kati ya njia za kwanza kabisa za [[mawasiliano]] kati ya maeneo ya mbali.
 
== Mito kumi mirefu duniani ==
Kadirio ya [[urefu]] wa mto hutegemea jinsi ya kuhesabu tawimitomatawimito yake. Orodha inayofuata ina tofauti na orodha inayokadiria kwa namna nyingine.
 
# 6.671 km - [[Nile]]: [[Luvironza]]-[[Mto Ruvuvu|Ruvuvu]]-[[mto Ruvusu|Ruvusu]]-[[Kagera (mto)|Kagera]]-[[Nile Nyeupe]]-Nile - ([[Afrika]])
# 6.387 km - [[Amazonas (mto)|Amazonas]]: [[Apurimac]]-[[Ene]]-[[Tambo]]-[[Ucayali]]-Amazonas - ([[Amerika ya Kusini]])
# 6.380 km - [[Yangtse|Yangtse (Cháng Jiāng)]] - ([[Asia]])
# 6.051 km - [[Mississippi (mto)|Mississippi]]-[[Missouri (mto)|Missouri]] - ([[Amerika ya Kaskazini]])
Line 50 ⟶ 56:
# 4.374 km - [[Kongo (mto)|Kongo]] - (Afrika)
 
==Mito nje ya dunia==
Mito inaweza kupatikana pia kwenye [[sayari]] nyingine zenye [[kiowevu]]. Maziwa na mito imegunduliwa kwenye [[Mwezi (gimba la angani)|mwezi]] [[Titan (Zohali)|Titan]] wa sayari [[Zohali]]. [[Angahewa]] ya Titan haina maji, ni karibu yote [[nitrojeni]]. Kiowevu ya maziwa na mito yake inaaminiwa kuwa [[methani]] na [[hidrokaboni]] nyingine zinazotokea duniani kama [[gesi]] lakini kwenye [[baridi]] ya Titan hupatikana kama kiowevu.
[[Chombo cha angani]] [[Cassini–Huygens|Cassini]] ya [[NASA]] ilituma [[picha]] ya mto wa Titan wenye urefu wa [[kilomita]] 400. <ref>http://www.space.com/18875-titan-nile-river-cassini.html</ref>
 
== Viungo ==
[[Mito mirefu ya Afrika]]
 
==Marejeo==
{{Reflist}}
 
{{mbegu-sayansi}}
{{mbegu-jio}}
 
[[Jamii:Mito|*]]
 
{{Link FA|he}}
 
[[af:Rivier]]
[[am:ወንዝ]]
[[an:Río]]
[[ar:نهر]]
[[arc:ܢܗܪܐ]]
[[arz:نهر]]
[[as:নদী]]
[[ast:Ríu]]
[[ay:Jawira]]
[[az:Çay (coğrafiya)]]
[[ba:Йылға]]
[[bar:Fluss]]
[[bat-smg:Opė]]
[[be:Рака]]
[[be-x-old:Рака]]
[[bg:Река]]
[[bjn:Sungay]]
[[bn:নদী]]
[[bo:ཆུ་རྒྱུན།]]
[[br:Stêr]]
[[bs:Rijeka (vodotok)]]
[[ca:Riu]]
[[chr:ᎤᏪᏴ]]
[[chy:Ó'he'e]]
[[ckb:ڕووبار]]
[[cr:ᓰᐲ]]
[[cs:Řeka]]
[[cv:Юхан шыв]]
[[cy:Afon]]
[[da:Flod]]
[[de:Fluss]]
[[el:Ποταμός]]
[[eml:Fiòmm]]
[[en:River]]
[[eo:Rivero]]
[[es:Río]]
[[et:Jõgi]]
[[eu:Ibai]]
[[ext:Ríu]]
[[fa:رود]]
[[fi:Joki]]
[[fiu-vro:Jõgi]]
[[fr:Rivière]]
[[frr:Struum]]
[[fur:Flum]]
[[fy:Rivier]]
[[ga:Abhainn]]
[[gan:江]]
[[gd:Abhainn]]
[[gl:Río]]
[[gn:Ysyry]]
[[gv:Awin]]
[[he:נהר]]
[[hi:नदी]]
[[hif:Naddi]]
[[hr:Rijeka (vodotok)]]
[[ht:Rivyè]]
[[hu:Folyó]]
[[hy:Գետ]]
[[ia:Fluvio]]
[[id:Sungai]]
[[ik:Kuuk]]
[[io:Rivero]]
[[is:Á (landslagsþáttur)]]
[[it:Fiume]]
[[iu:ᑰᒃ]]
[[ja:川]]
[[jbo:rirxe]]
[[jv:Kali]]
[[ka:მდინარე]]
[[kg:Mubu]]
[[kk:Өзен]]
[[kn:ನದಿ]]
[[ko:강]]
[[krc:Суу (черек, къобан)]]
[[ku:Çem]]
[[kv:Ю]]
[[la:Flumen]]
[[lb:Floss]]
[[lez:ВацӀ]]
[[li:Reveer]]
[[lmo:Fiüm]]
[[ln:Motíma]]
[[lt:Upė]]
[[lv:Upe]]
[[mg:Renirano]]
[[mhr:Эҥер]]
[[mk:Река]]
[[ml:നദി]]
[[mn:Гол]]
[[mr:नदी]]
[[ms:Sungai]]
[[mwl:Riu]]
[[my:မြစ်]]
[[myv:Лей]]
[[na:Ekaw]]
[[nah:Ātōyātl]]
[[nap:Sciummo]]
[[nds:Stroom (Water)]]
[[nds-nl:Revier]]
[[ne:नदी]]
[[new:आऱु (सन् २००५या संकिपा)]]
[[nl:Rivier]]
[[nn:Elv]]
[[no:Elv]]
[[nrm:Riviéthe]]
[[oc:Riu]]
[[os:Цæугæдон]]
[[pa:ਦਰਿਆ]]
[[pap:Riu]]
[[pdc:Rewwer]]
[[pl:Rzeka]]
[[pnb:دریا]]
[[pt:Rio]]
[[qu:Mayu]]
[[rm:Flum]]
[[ro:Râu]]
[[roa-tara:Jume]]
[[ru:Река]]
[[rue:Ріка]]
[[rw:Uruzi]]
[[sah:Өрүс]]
[[scn:Ciumi]]
[[sh:Rijeka (vodotok)]]
[[si:ගඟ හෙවත් ඔය]]
[[simple:River]]
[[sk:Rieka]]
[[sl:Reka]]
[[sn:Rwizi]]
[[so:Webiyada]]
[[sq:Lumi]]
[[sr:Река]]
[[stq:Äi]]
[[su:Walungan]]
[[sv:Flod]]
[[szl:Rzyka]]
[[ta:ஆறு]]
[[te:నది]]
[[tg:Дарё]]
[[th:แม่น้ำ]]
[[tk:Derýa]]
[[tl:Ilog]]
[[tr:Nehir]]
[[tt:Елга]]
[[uk:Річка]]
[[ur:دریا]]
[[uz:Daryo]]
[[vec:Fiume]]
[[vi:Sông]]
[[war:Salog]]
[[wo:Dex]]
[[xmf:წყარმალუ]]
[[yi:טייך]]
[[yo:Odò]]
[[zh:河流]]
[[zh-min-nan:Hô]]
[[zh-yue:河]]
[[zu:Umfula]]