Nyuki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3678601 (translate me) |
Masahihisho |
||
Mstari 2:
| rangi = pink
| jina = Nyuki
| picha =
| upana_wa_picha = 300px
| maelezo_ya_picha =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama)
| faila = [[Arthropodi|Arthropoda]] (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
Mstari 18:
*[[Xylocopinae]]
}}
'''Nyuki''' ni [[mdudu|wadudu]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Apidae]] wenye mabawa manne angavu na mwiba kwenye nyuma ya mwili wao wanaokusanya [[mbelewele]] na [[mbochi]] ya [[maua]] kama chakula chao.
▲'''Nyuki''' ni [[mdudu|wadudu]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Apidae]] wenye mabawa manne angavu na mwiba kwenye nyuma ya mwili wao wanaokusanya [[mbelewele]] na [[mbochi]] ya [[maua]] kama chakula chao. Aina inayojulikana hasa ni [[nyuki-asali]] ''[[Apis mellifera]]''. Kuna spishi zaidi ya 20,000 zinazojumlishwa na biolojia kati ya nyuki lakini ni wale wa jenasi ''[[Apis]]'' wanaotengeneza [[asali]] inayovunwa na wanadamu.
[[Picha:HoneyBeeAnatomy.svg|thumb|200px|left|Mwili wa nyuki]]
Line 32 ⟶ 29:
== Wadudu wa kijamii ==
Kuna aina tatu za nyuki ndani ya kundi na mzinga wao ambao ni
Line 38 ⟶ 35:
* nyuki wafanyakazi ni wakazi wengi wa mzinga na wote ni wa kike. Ni hao wanaofanya kazi yote kama kukusanya mbelewele na mbochi, kusafisha mzinga, kutengeneza nta, kujenga sega, kumlisha malkia na majana, kultetea mzinga
* nyuki dume ni wachache na kazi yao ya pekee ni kukwea malkia lakini si yule wa mzinga wake kwa kawaida; baadaye wanafukuzwa kwenye mzinga na hawapewi chakula tena
{{commonscat|Bee|Nyuki}}
|