Perpetua Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: id:Perpetua dan Felicitas |
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9.5 |
||
(marekebisho 25 ya kati na watumizi wengine 15 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 1:
[[
[[Image:Verrière de Sainte Perpétue (église Notre-Dame de Vierson, XIXe siècle).jpg|thumb|''Kifodini cha Mt. Perpetua na wenzake katika [[uwanja wa michezo]]'', kinavyoonyeshwa katika vioo vya kanisa la [[Bikira Maria]] huko [[Vierzon]], [[karne XIX]].]]
'''Perpetua''' (181 - [[7 Machi]] [[203]]) alikuwa kijana na mama mjini [[Karthago]] wakati wa [[Dola la Roma]] aliyeuawa kama mshahidi wa imani ya Kikristo. Aheshimiwa kati ya [[watakatifu wakristo]] na sikukuu yake ni 7 Machi. ▼
[[Image:Châsse de sainte Perpétue (église Notre-Dame de Vierzon).jpg|thumb|250px|Sanduku la Mt. Perpetua katika kanisa hilo la [[Vierzon]].]]
▲'''Perpetua''' ([[181]] - [[7 Machi]] [[203]]) alikuwa
Tangu kale anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]], [[Waorthodoksi]], [[Waanglikana]], [[Walutheri]] na wengineo kati ya [[watakatifu]] [[wafiadini]] na [[sikukuu]] yake ni tarehe 7 Machi<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
Perpetua
==Maisha==
Perpetua alikuwa binti wa [[familia]] [[tajiri]].
Perpetua
Pamoja na wenzake aliuawa katika [[uwanja wa michezo]] mbele ya watu wengi. Hukumu ilitekelezwa kwa njia ya [[wanyamapori]]. Yeye na Felista walitokea [[gereza|gerezani]] kuingia uwanjani wakiwa wafurahivu kama kwenda [[Mbingu|mbinguni]].
==Heshima baada ya kifo==
▲Perpetua alikuwa binti wa familia tajiri. Kwa umri wa miaka 22 aliolewa na kuwa na mtoto mdgo. Wakati ule alijiandaa kubatizwa pamoja na watumishi wake Felista na [[Revocatus]] na kijana mwingine aliyeitwa Saturnius. Walikamatwa pamoja na mwalimu wao Saturus katika wimbi ya mateso ya Wakristo chini ya serikali ya Kaisari [[Septimius Severus]] (193-211).
[[Heshima]] iliyotolewa mara kwa wafiadini hao ilienea haraka katika [[Kanisa]] lote.
[[Masalia]] ya Perpetua yalihamishwa mara kadhaa kutoka na matatizo ya kihistoria. Hatimaye yamehifadhiwa huko [[Vierzon]] ([[Ufaransa]]).
▲Mwanzoni Perpetua alifungwa ndani na kupewa nafasi ya kuachana na imani yake. Alipokataa alihukumiwa kifo pamoja na wenzake. Gerezani walipokea [[ubatizo]].
==Matendo ya Perpetua na Felista==
==Filamu==
▲Perpetua alibembebelezwa sana ba babaye aachane na Ukristo na kuokoa maisha yake lakini alikataa.
*''Perpetua: Early Church Martyr'' (2009) - documentary.
*''Torchlighters: The Perpetua Story'' (2009) - animated DVD for children ages 8–12.
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
==Tanbihi==
{{reflist}}
▲[[Category:Watakatifu Wakristo]]
==Viungo vya nje==
*[http://www.earlychurchtexts.com/main/perpetua/passio_of_perpetua_01.shtml Matendo ya Mt. Perpetua kwa [[Kilatini]], [[Kigiriki]] na [[Kiingereza]].] Kitabu chote katika www.earlychurchtexts.com.
*[http://www.earlychristianwritings.com/actsperpetua.html "Matendo ya Perpetua na Felista" katika [[tafsiri]] ya [[Kiingereza]].]
*[http://www.fordham.edu/halsall/source/perpetua.html Medieval Sourcebook: ''The Passion of Saints Perpetua and Felicity.''] {{Wayback|url=http://www.fordham.edu/halsall/source/perpetua.html |date=20110306004338 }} From W.H. Shewring, trans. The Passion of Perpetua and Felicity, (London: 1931), modernized.
*[http://www.ccel.org/ccel/wace/biodict.html Henry Wace, ''A Dictionary of Christian Biography and Literature to the End of the Sixth Century A.D.'' 1911]
{{mbegu-Mkristo}}
[[Jamii:Waliozaliwa 181]]
[[Jamii:Waliofariki 203]]
[[
[[
[[
|