1930
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| ►
◄◄ |
◄ |
1926 |
1927 |
1928 |
1929 |
1930
| 1931
| 1932
| 1933
| 1934
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1930 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririWaliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 23 Januari - Derek Walcott, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1992
- 28 Februari - Aage Bohr, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975
- 28 Februari - Leon Cooper, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1972
- 9 Machi - Ornette Coleman, mwanamuziki kutoka Marekani
- 15 Machi - Martin Karplus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 2013
- 24 Machi - David Dacko, Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
- 24 Machi - Steve McQueen, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 28 Machi - Jerome Friedman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1990
- 3 Aprili - Helmut Kohl, Waziri Mkuu wa Ujerumani (1982-1998)
- 8 Mei - Gary Snyder, mshairi kutoka Marekani
- 12 Mei - Mazisi Kunene, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- 31 Mei - Clint Eastwood, mwigizaji, mwongozaji na mwandaaji wa filamu kutoka Marekani
- 27 Juni - Ross Perot, mfanyabiashara na mwanasiasa kutoka Marekani
- 28 Juni - William Campbell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2015)
- 3 Julai - Tommy Tedesco, mwanamuziki kutoka Marekani
- 5 Agosti - Neil Armstrong, rubani mwanaanga kutoka Marekani
- 15 Agosti - Tom Mboya, mwanasiasa wa Kenya
- 25 Agosti - Sean Connery, mwigizaji filamu kutoka Uskoti
- 25 Agosti - Magnus Mwalunyungu, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 12 Septemba - Akira Suzuki, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2010
- 10 Oktoba - Harold Pinter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2005
- 10 Oktoba - Yves Chauvin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2005
- 14 Oktoba - Mobutu Sese Seko, Rais wa nchi ya Zaire
- 24 Oktoba - Jack Angel, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 16 Novemba - Chinua Achebe, mwandishi Mnigeria
- 29 Novemba - David Goldblatt, mpigapicha wa Afrika Kusini
- 30 Desemba - Tu Youyou, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2015
bila tarehe
- Paulo Ahyi, msanii aliyeunda bendera ya Togo
- Raymond Mwanyika, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
Waliofariki
hariri- 8 Machi - William Howard Taft, Rais wa Marekani (1909-13)
- 21 Machi - Claude H. Van Tyne, mwanahistoria kutoka Marekani
- 2 Aprili - Zauditu, Malkia mtawala wa Uhabeshi
- 1 Mei - Mtakatifu Rikardo Pampuri, O.H., daktari na bradha
- 13 Mei - Fridtjof Nansen, mpelelezi na mwanasiasa Mnorwei na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1922
- 28 Julai - Allvar Gullstrand, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1911
- 5 Novemba - Christiaan Eijkman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1929
- 13 Desemba - Fritz Pregl, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1923
bila tarehe
- Justin Harvey Smith, mwanahistoria kutoka Marekani
Wikimedia Commons ina media kuhusu: