1969
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| ►
◄◄ |
◄ |
1965 |
1966 |
1967 |
1968 |
1969
| 1970
| 1971
| 1972
| 1973
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1969 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 20 Julai - Wanaanga Neil Armstrong na Buzz Aldrin ni watu wa kwanza kufika kwenye uso wa mwezi.
- 1 Septemba - Mapinduzi ya Libya; maafisa chini ya Muammar al-Gaddafi wanampindua mfalme Idris I na kutangaza jamhuri.
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 14 Januari - Jason Bateman, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 15 Februari - Birdman, mwanamuziki kutoka Marekani
- 31 Machi - Nyamko Sabuni, mwanasiasa wa kike wa Uswidi
- 11 Juni - Peter Dinklage, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 13 Juni - Joseph Keter, mwanariadha kutoka Kenya
- 15 Juni - Ice Cube (au O'Shea Jackson), mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 5 Julai - RZA, mwanamuziki kutoka Marekani
- 24 Julai - Jennifer Lopez, mwimbaji kutoka Marekani
- 8 Agosti - Masta Killa, mwanamuziki kutoka Marekani
- 19 Agosti - Nate Dogg, mwanamuziki kutoka Marekani
- 28 Agosti - Jack Black, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 18 Septemba - Cappadonna, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1 Oktoba - Marcus Stephen, Rais wa Nauru (tangu 2007)
- 10 Oktoba - Loren Bouchard, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 4 Novemba - Sean Combs, mwanamuziki kutoka Marekani
- 13 Novemba - Gerard Butler, mwigizaji filamu kutoka Uskoti
- 4 Desemba - Jay-Z, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 30 Januari - Padre Dominique Pire, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1958
- 23 Machi - Bernadotte Everly Schmitt, mwanahistoria kutoka Marekani
- 26 Machi - John Kennedy Toole, mwandishi kutoka Marekani
- 28 Machi - Dwight D. Eisenhower, Rais wa Marekani (1953-1961)
- 19 Mei - Coleman Hawkins, mwanamuziki kutoka Marekani
- 5 Julai - Tom Mboya, mwanasiasa wa Kenya, aliuawa
- 28 Julai - Frank Loesser, mtunzi kutoka Marekani
- 9 Agosti - Cecil Frank Powell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1950
- 17 Agosti - Otto Stern, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1943
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu: