1982
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
1978 |
1979 |
1980 |
1981 |
1982
| 1983
| 1984
| 1985
| 1986
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1982 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririWaliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 4 Januari - Ross Turnbull, mchezaji wa mpira kutoka Uingereza
- 20 Januari - Tiffany Mason, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 3 Februari - Isha Ramadhani, mwimbaji kutoka Tanzania
- 10 Februari - Nadir Haroub Ali, mchezaji mpira kutoka Tanzania
- 16 Februari - Angela Damas, mrembo wa Tanzania mwaka 2002
- 5 Aprili - Lacey Duvalle, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 15 Aprili - Seth Rogen, mwigizaji wa filamu kutoka Kanada
- 30 Aprili - Lloyd Banks, mwanamuziki kutoka Marekani
- 5 Mei - Petr Čech, mchezaji wa mpira kutoka Ucheki
- 6 Julai - Tay Zonday, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 7 Julai - Cassidy, mwanamuziki kutoka Marekani
- 18 Julai - Nestroy Kizito, mchezaji mpira kutoka Uganda
- 24 Agosti - Jose Bosingwa, mchezaji wa mpira kutoka Ureno
- 27 Septemba - Lil Wayne, mwanamuziki kutoka Marekani
- 21 Oktoba - Matt Dallas, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 16 Novemba - Mangwair, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 20 Novemba - Rémi Mathis, mwanahistoria kutoka Ufaransa
- 30 Novemba - Elisha Cuthbert, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 1 Desemba - Diego Cavalieri, mchezaji mpira kutoka Brazil
- 5 Desemba - Keri Hilson, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 18 Januari - Huang Xianfan, mwanahistoria kutoka China
- 19 Januari - Marya Zaturenska, mshairi kutoka Marekani
- 14 Februari - Antonio Casas, mwigizaji filamu kutoka Hispania
- 17 Februari - Thelonious Monk, mwanamuziki wa Marekani
- 19 Machi - Louis-Victor Broglie, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1929
- 28 Machi - William Giauque, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1949
- 15 Aprili - Teofilo Kisanji, askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania
- 20 Aprili - Archibald MacLeish, mshairi kutoka Marekani
- 12 Juni - Karl von Frisch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973
- 18 Juni – John Cheever, mwandishi wa Marekani (na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1979
- 12 Agosti - Henry Fonda, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 15 Agosti - Hugo Theorell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1955
- 17 Agosti - Ruth First, mwandishi wa Afrika Kusini
- 21 Agosti - Sobhuza II, mfalme wa Uswazi
- 23 Agosti - Stanford Moore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 8 Oktoba - Philip Noel-Baker, mwanasiasa wa Uingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1959
- 12 Oktoba - Howard Sackler, mwandishi kutoka Marekani
- 9 Novemba - Shaykh 'Abdullaah Swaalih Al-Farsy, mwanahistoria kutoka Zanzibar
- 7 Desemba - Will Lee, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
bila tarehe
- Sydney Clouts, mwandishi wa Afrika Kusini
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu: