20 Agosti
tarehe
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 20 Agosti ni siku ya 232 ya mwaka (ya 233 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 133.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1800 - Bernhard Heine, mgunduzi wa osteotomi kutoka Ujerumani
- 1833 - Benjamin Harrison, Rais wa Marekani (1889-1893)
- 1898 - Vilhelm Moberg, mwandishi kutoka Uswidi
- 1901 - Salvatore Quasimodo, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1959
- 1904 - Werner Forssmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956
- 1913 - Roger Sperry, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1981
- 1936 - Hideki Shirakawa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2000
- 1941 - Slobodan Milosevic, Rais wa Serbia (1989-2000)
- 1983 - Andrew Garfield, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1992 - Demi Lovato, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 984 - Papa Yohane XIV
- 1153 - Mtakatifu Bernardo wa Clairvaux, abati na mwalimu wa Kanisa kutoka Ufaransa
- 1823 - Papa Pius VII
- 1914 - Mtakatifu Papa Pius X
- 1915 - Paul Ehrlich, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1908
- 1917 - Adolf von Baeyer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1905
- 1961 - Percy Bridgman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1946
- 2012 - Meles Zenawi, Waziri mkuu wa Ethiopia (1995-2012)
- 2012 - Phyllis Diller, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Bernardo wa Clairvaux, Samweli, Masimo wa Chinon, Filibati wa Jumieges, Leovigildi na Kristofa, Bernardo Tolomei, Maria De Mattias n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-10 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 20 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |