DNA ya mitokondria

(Elekezwa kutoka DNA ya mviringo)

DNA ya mitokondria (pia ADN ya mitokondria, kutoka Kiingereza Mitochondrial DNA, kifupi mtDNA au mDNA)[1] ni urithi wa jeni ambao unapatikana katika mitokondria na ni sehemu ndogo ya urithi wote wa viumbe hai.

DNA ya mitokondria ya binadamu.

Upekee wake ni kwamba katika binadamu na viumbe vingine vingi unatolewa na mama tu kwa watoto wake wote[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Sykes, B (10 Septemba 2003). "Mitochondrial DNA and human history". The Human Genome. Wellcome Trust. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-07. Iliwekwa mnamo 5 Februari 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Mitochondrial DNA: The Eve Gene". Bradshaw Foundation. Bradshaw Foundation. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-12. Iliwekwa mnamo 5 Novemba 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu DNA ya mitokondria kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.