Deogratias wa Karthago
Deogratias wa Karthago[1][2] alikuwa askofu wa mji huo (katika Tunisia ya leo) katika miaka 454 - 457[3].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[4] .
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Januari[5] au 22 Machi[6][7][8].
Maisha
haririInawezekana ni mtu yuleyule aliyetajwa mara nne na Augustino wa Hippo katika maandishi yake kama shemasi Deogratias halafu kama padri Deogratias[9].
Kutokana na dhuluma za Wavandali[10], kabla yake jimbo la Karthago lilikaa bila askofu miaka 14 tangu alipofariki Quodvultdeus na baada yake kwa miaka 23 tena hadi alipoteuliwa Eugenius wa Karthago[11][12][13]..
Deogratias aliuza vitu vyote vya thamani vya Kanisa ili kukomboa waliokuwa wametekwa na Wavandali kama watumwa mjini Roma akawalaza na kuwalisha katika mabasilika mawili.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Jr, Rev John Trigilio; Brighenti, Rev Kenneth (2010-01-06). Saints For Dummies (kwa Kiingereza). John Wiley & Sons. ISBN 9780470606919.
- ↑ "African saints: St Deogratias of Carthage", The mouth of a labyrinth, 2013-03-22. (en-US)
- ↑ Watkins, Basil (2015-11-19). The Book of Saints: A Comprehensive Biographical Dictionary (kwa Kiingereza). Bloomsbury Publishing. ISBN 9780567664150.
- ↑ "Mar 22 - St Deogratias (d. 457) - Catholicireland.net", Catholicireland.net. (en-US)
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Butler, Alban (1815). The Lives of the Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints: Compiled from Original Monuments and Other Authentic Records, Illustrated with the Remarks of Judicious Modern Critics and Historians (kwa Kiingereza). J. Murphy.
- ↑ Online, Catholic. "St. Deogratius - Saints & Angels - Catholic Online". Catholic Online (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-09-28.
- ↑ "Saint Deogratias, Bishop of Carthage, Confessor. March 22. Rev. Alban Butler. 1866. Volume III: March. The Lives of the Saints". www.bartleby.com. Iliwekwa mnamo 2017-09-28.
- ↑ Mandouze, Prosopographie de l'Afrique chrétienne, p. 272.
- ↑ "Feast of St. Deogratias (March 22)", SUNDRY THOUGHTS, 2011-01-24. (en-US)
- ↑ "St. Deogratias | SUNDRY THOUGHTS". neatnik2009.wordpress.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-28. Iliwekwa mnamo 2017-09-28.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "Mar 22 - St Deogratias (d. 457) - Catholicireland.net", Catholicireland.net. (en-US)
- ↑ "Holy Spirit Interactive: Catholic Saints - St. Deogratias". www.holyspiritinteractive.net. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-28. Iliwekwa mnamo 2017-09-28.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)
Marejeo
hariri- (Kifaransa) Joseph Mesnage, L'Afrique chrétienne, Paris 1912, pp. 5-6
- (Kilatini) Stefano Antonio Morcelli, Africa christiana, vol. I, Brescia 1816, p. 54
- (Kifaransa) Anatole Toulotte, Géographie de l'Afrique chrétienne. Proconsulaire, Rennes-Paris 1892, pp. 89-90
- (Kifaransa) André Mandouze, Prosopographie chrétienne du Bas-Empire, 1. Prosopographie de l'Afrique chrétienne (303-533), Paris, Éditions du Centre National de la Recherche Scientifique, 1982, pp. 271-273