Kiefer William Frederick Dempsey George Rufus Sutherland (amezaliwa tar. 21 Desemba 1966) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchnii Kanada. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Jack Bauer kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha FOX marufu kama 24. Yeye ni mshindi wa tuzo za Emmy Award na Golden Globe Award.

Kiefer Sutherland

Amezaliwa Kiefer William Frederick Dempsey George Rufus Sutherland
21 Desemba 1966 (1966-12-21) (umri 57)
London, England, Uingereza
Miaka ya kazi 1983-hadi leo
Ndoa Camelia Kath (1987-1990)
Kelly Winn (1996-2008)

Filamu

hariri
Mwaka Filamu Aliigiza kama Maelezo
1983 Max Dugan Returns Bill Aliigiza pamoja na babake, Donald Sutherland
1984 The Bay Boy Donald Campbell
1985 Amazing Stories Static
1986 Brotherhood of Justice Victor
Trapped in Silence Kevin Richter Filamu
Stand by Me Ace Merrill
At Close Range Tim
1987 Crazy Moon Brooks
Promised Land Danny
The Lost Boys David
The Killing Time The Stranger
1988 Bright Lights, Big City Tad Allagash
Young Guns Josiah Gordon 'Doc' Scurlock
1969 Scott Denny
1989 Renegades Buster McHenry
1990 Young Guns II Josiah Gordon 'Doc' Scurlock
Flatliners Nelson
Chicago Joe and the Showgirl Karl Hulten
The Nutcracker Prince The Nutcracker Prince Sauti
Flashback John Buckner
1992 Article 99 Dr. Peter Morgan
Twin Peaks: Fire Walk with Me Sam Stanley
A Few Good Men Lt. Jonathan James Kendrick
1993 Last Light Denver Bayliss
The Three Musketeers Athos
The Vanishing Jeff Harriman
1994 The Cowboy Way Sonny Gilstrap
1996 Eye for an Eye Robert Doob
Freeway Bob Wolverton
A Time to Kill Freddie Lee Cobb Appeared alongside his father, Donald Sutherland
1997 Armitage III: Poly-Matrix Ross Sylibus Voice
Truth or Consequences, N.M. Curtis Freley
1998 Dark City Dr. Daniel Schreber
A Soldier's Sweetheart Rat Kiley
Break Up John Box
Ground Control Jack Harris
1999 After Alice Detective Michael "Mick" Hayden
Watership Down Hickory Sauti
2000 Beat William S. Burroughs
Woman Wanted Wendell Goddard
Picking Up the Pieces Bobo
The Right Temptation Michael Farrow-Smith
2001 Cowboy Up Hank Braxton
To End All Wars Lt. Jim Reardon
2001–2010 24 Jack Bauer
2002 Dead Heat Phally
Desert Saints Arthur Banks
Behind the Red Door Roy
2003 Phone Booth Mpigaji simu Filamu hii ilichelewa kutolewa kwa ajili ya mashambulizi ya Beltway mnamo Oktoba 2002.[1]
The Land Before Time X: The Great Longneck Migration Bron Sauti
Paradise Found Paul Gauguin
2004 Taking Lives Hart
NASCAR 3D: The IMAX Experience Mtangazaji
2005 The Flight That Fought Back Mtangazaji filamu
River Queen Doyle
2006 I Trust You to Kill Me Yeye mwenyewe
24: The Game Jack Bauer Video game; sauti
The Sentinel David Breckinridge
The Wild Samson the Lion Sauti
2006–07 The Simpsons The Colonel; Jack Bauer Sauti kwenye "G.I. (Annoyed Grunt)" and "24 Minutes"
"American Misfits" Kipindi cha 13 "new boss" Yeye mwenyewe
2008 Dragonlance: Dragons of Autumn Twilight Raistlin Majere Sauti
Mirrors Ben Carson
Call of Duty: World at War Sgt. Roebuck Video game
Corner Gas Kiefer Sutherland "Final Countdown"
24: Redemption Jack Bauer filamu
2009 Monsters vs. Aliens Gen. W.R. Monger Sauti
2010 Twelve Mtangazaji Imekamilika
Marmaduke Bosco Sauti
2011 Melancholia
24 Jack Bauer Filamu fupi

Marejeo

hariri
  1. "'Phone' release delayed". 18 Oktoba 2002. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-04. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2008. The Associated Press

Viungo vya Nje

hariri

Interviews and articles

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiefer Sutherland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.