Marko mtawa ni kati ya Wakristo wa Misri walioishi vizuri imani yao kwa kutawa.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Ni kati ya Mababu wa jangwani ambao misemo yao iliyoripotiwa katika Apophthegmata Patrum (Misemo ya Mababa wa Jangwani)[1].

Misemo hiyo ilikusanywa taratibu ili kudumisha hekima yao nyofu. Kuna pia tafsiri ya Kiswahili: Misemo ya Mababa wa Jangwani (Apophthegmata Patrum) – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000ISBN 0-264-66350-0

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 2 Februari.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Harmless, William (2000). "Remembering Poemen Remembering: The Desert Fathers and the Spirituality of Memory". Church History. 15. American Society of Church History. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-05-18. {{cite journal}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.