Kwa maana tofauti ya jina hili angalia hapa Mbuyu (maana)

Mbuyu
(Adansonia digitata)
Mbuyu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Malvales (Mimea kama mpamba
Familia: Malvaceae (Mimea iliyo mnasaba na mpamba)
Nusufamilia: Bombacoideae (Mimea iliyo mnasaba na msufi)
Jenasi: Adansonia
Spishi: A. digitata L.

Mbuyu (Adansonia digitata) ni mti mkubwa wa ukanda wa tropiki. Matunda yake yanaitwa mabuyu, gamba la tunda linaitwa kibuyu na ubuyu ni nyama ya tunda.

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbuyu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.