Mrihi
(Brachystegia spiciformis)
Mrihi huko Limpopo, Afrika Kusini
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi) i
Oda: Fabales (Mimea kama mharagwe)
Familia: Fabaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mharagwe)
Nusufamilia: Caesalpinioideae
Jenasi: Brachystegia
Benth.
Spishi: B. spiciformis
Benth.

Mrihi, mriti, msasa, mtondo, mtondoro, mtundu au mundu (Brachystegia spiciformis) ni mti wa familia Fabaceae unaotokea misitu ya miyombo.

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mrihi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.