Nino na wenzake Vikta, Nobilitani, Mariani, Lusius, Tinus, Kresensi, Rufiniani, Donati, Defensa, Rustisi, Serviliani, Sokrate, Veneri, Januari, Mustoli, Kwintini, Memi, Isitani, Magnili, Prima, Donata, Severa, Viktoria na Basilia ni kati ya Wakristo wa Moroko waliofia dini yao.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yao, ila tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 17 Oktoba.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.