Ubavu (wingi: "mbavu") au pambazi ni mfupa mwembamba katika mwili wa viumbehai kadhaa onaoambaaambaa upande wa kulia na wa kushoto ili kuunganisha kifua na uti wa mgongo.

Mbavu 24 za binadamu, 12 kila upande (kwa rangi nyekundu).

Kwa maana nyingine ni upande wa pembezoni wa chombo au kitu chochote.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ubavu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.