Audiolojia
Mandhari
Audiologia (kutoka kilatini: audire, "kusikia"; na kigiriki: λόγος, logos, "elimu") ni kiwanja cha sayansi kinachohusika na masomo kuhusu sikio, kusikia na magonjwa ya masikio. Wanaaudiologia hutumia ujuuzi wao, kupeleleza kiwango cha kusikia cha mtu binafsi na kama kuna tatizo, huweza kujua tatizo limeketi wapi na pia hueleza matibabu yepi yanawezekana au yanapatikana.