Kicara
Mandhari
Kicara ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wacara. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kicara imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicara iko katika kundi la Plateau.
Viungo vya nje
- lugha ya Kicara kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kicara Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kicara katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/cfd
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kicara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |