Nenda kwa yaliyomo

Raineri wa Split

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.

Raineri wa Split (pia: Raynerius, Raniero, Ranieri, Renier, Rayner, Arnir; Italia, 1110 hivi - Split, leo nchini Korasya, 1180) alikuwa mmonaki wa urekebisho wa Wabenedikto wa Camaldoli.

Alikuwa askofu wa Cagli, Italia ya Kati miaka 1156-1175, halafu wa Split. Katika miji yote miwili alipigania haki za Kanisa na kwa ajili hiyo alisumbuliwa sana hata akauawa kwa kupigwa mawe[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Papa Aleksanda VIII alithibitisha heshima hiyo mwaka 1690.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 4 Agosti[3].

Tazama pia

Tanbihi

  1. Catholic Encyclopedia (1913) : "Cagli e Pergola"
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/65460
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo

  • Acta Sanctorum, I, Antverpiae, 1643, pp. 354–357.
  • D. Farlati, Illiricum sacrum, III, Venetiis, 1765, pp. 194–210.
  • G. Palazzini, S. Rainerio (1100?-1180) arcivescovo e martire, Urbania 1945.
  • A. M. Zimmermann, Kalendarium Benedictinum, II, Wien, 1939, p. 560.
  • Novak, Grga, Povijest Splita I., Čakavski sabor, Split, 1978.

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.