Nenda kwa yaliyomo

Alice Walker

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alice Walker

Amezaliwa 9 Februari 1944
Georgia, Marekani
Kazi yake Mwandishi, Mshairi
Kipindi 1968–hadi leo
Ndoa Melvyn Rosenman Leventhal (walioana 1967, waliwachana 1976)
Watoto Rebecca Walker
Tovuti http://alicewalkersgarden.com/

Alice Malsenior Walker (amezaliwa 9 Februari 1944) ni mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Aliandika hasa riwaya na mashairi yanayoonyesha hali ya Wamarekani-Waafrika. Anajulikana hasa kwa riwaya yake “Rangi ya Zambarau” (kwa Kiingereza: The Color Purple) iliyotolewa 1982. Mwaka wa 1983 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa ajili ya riwaya hiyo.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alice Walker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.