Jean-Marie Lehn
Mandhari
Jean-Marie Lehn (amezaliwa 30 Septemba 1939) ni mwanakemia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza usanisi wa molekuli kubwa. Mwaka wa 1987, pamoja na Donald Cram na Charles Pedersen alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jean-Marie Lehn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |