Nenda kwa yaliyomo

Kikhandesi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikhandesi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakhandesi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikhandesi imehesabiwa kuwa watu 21,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhandesi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikhandesi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.