Nenda kwa yaliyomo

Darfur Kusini

Majiranukta: 11°31′N 25°2′E / 11.517°N 25.033°E / 11.517; 25.033
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kusini Darfur)
Mlima Harry karibu na kijiji cha Dougu ndani ya Darfur Kusini, Sudan Magharibi.

11°31′N 25°2′E / 11.517°N 25.033°E / 11.517; 25.033

Darfur Kusini katika Sudan

Darfur Kusini (kwa Kiarabu: جنوب دارفور, Janob Darfor) ni moja kati ya majimbo 26 ya Sudan. Ni mojawapo ya majimbo matatu yanayojumuisha eneo la Darfur magharibi mwa Sudan. Lina ukubwa wa eneo la kilomita mraba 127,300 na idadi ya watu inayokadiriwa kuwa 2,890,000 (2006). Nyala ndio mji mkuu wake. Kwa hakika, Darfur ndilo jimbo kubwa zaidi nchini Sudan.

Historia

[hariri | hariri chanzo]
Miji katika eneo hili

Historia ya Darfur Kusini ni sawa na ile ya Darfur.

Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Darfur Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.