Nelson Jair Cardona Ramírez
Mandhari
Nelson Jair Cardona Ramírez (alizaliwa 18 Januari 1969) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Kolombia.
Amekuwa Askofu wa San José del Guaviare tangu mwaka 2016. Mnamo Oktoba 4, 2024, aliteuliwa kuwa Askofu Mteule wa Jimbo la Pereira.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ (in it) Rinunce e Nomine, 07.05.2016 (Press release). 7 May 2016. http://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2016/05/07/0325/00746.html. Retrieved 10 October 2019.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |