Nenda kwa yaliyomo

Vena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moyo na mishipa tofauti ya damu katika binadamu.

Vena ni mishipa inayopeleka damu kutoka ogani na sehemu zote za mwili wa binadamu na wanyama mbalimbali kwenda kwenye moyo ili iendelee na mzunguko ikiwa na oksijeni.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Machapisho ya kisayansi

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vena kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.