Naibu Waziri Mkuu wa Waziri wa Nishati Mhe. Doto Mashaka Biteko (Mb) akitoa hotuba wakati alipokuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikaliuliofanyika tarehe 15 Aprili, 2025 Jijini Dodoma.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mlezi wa Chama cha Mawakili wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali uliofanyika tarehe 15 Aprili, 2025 Jijini Dodoma.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko (katika) akionyesha tuzo maalumu aliyokabidhiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Chama cha Mawakili wa Serikali kwa kutambua mchango wake katika maendeleo ya chama hicho. Tuzo hiyo ilikabidhiwa kwa Dkt, Biteko na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mlezi wa Chama hicho Mhe. Hamza S. Johari (kulia), kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (Mb).
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko (Mb) (kushoto) akimkabidhi tuzo Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mlezi wa Chama cha Mawakili wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari (kulia) wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali ukliofanyika tarehe 15 Aprili, 2025 Jijini Dodoma.
Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba I. Kabudi akitoa nasaa kwa Mawakili wa Serikali wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali uliofanyika tarehe 15 Aprili, 2025 Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini (Mb) akitoa salamu kutoka Wizara hiyo kwa Mawakili wa Serikali katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali uliofanyika Jijini Dodoma tarehe 15n Aprili, 2025.
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Dkt. Talib Mwinyi Haji akitoa neno la shukrani wakati aliposhiriki Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali, uliofanyika tarehe 15 Aprili, 2025 Jijini Dodoma.
Rais Mstaafu wa Chama cha Mawakili wa Serikali, Bw. Amedeus Shayo akitafakari jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Seirkali uliofanyika Jijini Dodoma tarehe 15 Aprili ,2025.
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Samwel M. Maneno akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka Chama cha Mawakili wa Serikali, uliofanyika Jijini Dodoma tarehe 15 Aprili, 2025.
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Ndg. Shaaban Ramadhan Abdalla akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali uliofanyika Jijini Dodoma tarehe 14 na 15 Aprili, 2025.
Kutoa huduma za kisheria zenye ubora kwa njia ya kuandaa Sheria, Upekuzi na Majadiliano ya Mikataba pamoja na Ushauri wa Kisheria kwa Maendeleo ya Kijamii, Kiuchumi na Kisiasa
Dira
Kuwa Taasisi yenye ufanisi, kitaaluma na kuaminika katika kutoa huduma bora zakisheria kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania