United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
09th Apr 2025
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akisoma Hotuba Bungeni kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2025/2026
11th Mar 2025
Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchembа Madelu (Mb), akiwasilisha katika Kamati ya Bunge zima Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2025/26
11th Mar 2025
Waziri wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mheshimiwa Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb.) akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26.
14th Feb 2025
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akisoma Bungeni Maelezo ya Mhe. Spika kuhusu matukio ya kabla na wakati wa Mkutano ujao wa Bunge (Mkutano wa Kumi na Tisa).
28th Jan 2025
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiiingia ukumbini kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Nane.