Revised VBU FWA 5G Brochure Final

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 10

Yes, you can live a

simpler life.
Together we can

5G
1. What is 5G internet? shops, home solution agents or Vodacom
5G home Internet solution provides access website and will be installed by a trained
to fast internet at home or office as per technician.
subscribed validity from the day the service
was purchased. Wateja waliopo maeneo ya 5G
wanapataje huduma hii?
Huduma ya 5G ni nini? Wateja watajisajili na kupata huduma hii
Hii ni huduma ya intaneti inayomuunganisha kupitia maduka ya Vodacom, wakala wa 5G
mteja nyumbani au ofisini tangu kipindi wanaweza kuagiza kupitia tovuti yetu ya
alipojiunga kuanzia siku aliponunua huduma Vodacom. Kifaa hichi kitafungwa na
hii. mtaalamu.

2. Where will this service be


available? 4. What do I need /require to get
This service will only be available in the 5G home service?
locations where Vodacom has 5G network
coverage (Goba, Makongo Juu, Masaki, Posta, You will require the below
Morocco, Mbezi beach, Bunju, Mbweni, i. Register in the shop, Vodacom website or
Mikocheni, Mwenge, Tegeta, Madale). through home solution agents.
ii. Buy a 5G CPE device.
Hii Huduma itakua inapatikana iii. Pay for monthly Subscription.
maeneo gani? iv. Installation by the trained technician.
Hii huduma itapatikana maeneo ambayo
mtandao wa 5G wa Vodacom unapatikana
(Goba, Makongo Juu, Masaki, Posta, Morocco,
Mbezi beach, Bunju, Mbweni, Mikocheni,
Mwenge, Tegeta, Madale).

3. How do customers get this


service?
A customer will have to register in Vodacom
Nitahitaji nini ili kuweza kupata
huduma ya 5G nyumbani? 6. How much does it cost for the
Utahitaji kuwa na au kufanya vitu service?
vifuatavyo: The cost depends on the device and
i. Kujisajili kwenye maduka ya Vodacom, subscription package the customer will
tovuti au mawakala wa huduma hii. prefer. Below are prepaid prices are for:
ii. Kununua kifaa maalum cha 5G (CPE). Device cost + Monthly subscription costs.
iii. Kulipia malipo ya mwezi.
iv. Kufungiwa kifaa nyumbani kwako na
mtaalamu. Device Cost

Device Type Price


5. How do I pay for monthly Nokia 850,000
subscription MegTech 650,000
For prepaids - The monthly subscription
will be paid either through: Monthly Subscription cost
Corrections: M-pesa through our purchas- Device Type Mbps Price
ing channels such as USSD and MPESA Platinum Upto 350 Mbps 600,000
menu Diamond Upto 200 Mbps 400,000
Tanzanite Upto 100 Mbps 250,000
Gold Upto 50 Mbps 150,000
App and Website Bronze Upto 30 Mbps 120,000
PS: All subscription are 30days

For postpaid - MPESA postpaid


via mpesa paybill/bank

For postpaid
Nalipiaje malipo ya kila mwezi?
- Deposit (2 times your monthly subscription
Malipo ya kila mwezi yatalipiwa kupitia:
cost).
i. M-pesa kwa njia ya menyu zetu za USSDs
- The following month start paying for the
kwenye menyu ya Intaneti kisha Huduma
monthly subscription.
ya 5G Nyumbani.
ii. App na Tovuti.
iii. Kadi ya benki au Masta Kadi.
iv. Fedha taslimu (Maduka ya Vodacom
au Wakala).
Bei ya huduma hii zipoje? Najiondoaje kwenye hudumahii?
Bei ya huduma inategemea na gharama ya Mteja atajiondoa kupitia *149*01#>Nunua
kifaa na mpango wa manunuzi mteja Bando>Intaneti>Huduma ya 5G Nyum-
atakayochagua. bani>Kufanya Malipo>Jiondoe na
huduma ya kujirudia
Bei ya kifaa Kwa wateja wa malipo ya muda maalum
– Iwapo hutalipia bili yako, huduma
Device Type Price itasitishwa.
Nokia 850,000
MegTech 650,000 Kwa wateja wa malipo ya kabla – Kama
hautalipia kifurushi chako, huduma
Monthly Subscription cost itasitishwa na simcard yako itaweza
Device Type Mbps Price kutumika kwenye huduma nyingine za
Platinum Upto 350 Mbps 600,000 Vodacom.
Diamond Upto 200 Mbps 400,000
Tanzanite Upto 100 Mbps 250,000
Gold Upto 50 Mbps 150,000 8. How do I upgrade or downgrade
Bronze Upto 30 Mbps 120,000 my service plan?
PS: All subscription are 30days You can upgrade/downgrade your plan on
the day of renewal For prepaid – purchase
any subscription package below or above
your current package For postpaid – inform
7. How do I unsubscribe to this your Key Account Manager to
service? upgrade/downgrade.
A customer can unsubscribe by dialing
*149*01#>Buy Bundle>Internet>5G Home Je nabadilishaje mpango wa
Internet>Subscription Payment>De-acti- huduma hii?
vate Auto-renewal Unaweza kubadilisha mpango wa huduma
For postpaid customer – if you don’t pay hii siku ambayo muda wa matumizi
your monthly bill, the service will be umeisha.
suspended

For prepaid, if you don’t renew your


subscription package your service will be
suspended and your simcard will be free to
be used for other Vodacom services.
9.What happens if I move to KUREKEBISHA HITILAFU ZA
another place, will I be able to VIFAA VYA 5G
use the device?
Yes, you will be able, however you will have 11. Router hizi na kwa ajili ya
to call/visit our help desk to ensure that matumizi ya ndani au nje?
the new place has a 5G coverage as well as Vifaa hivi vyote viwili ni kwa ajili ya
to allocate the technician to install the matumizi ya ndani tu.
device.
12. Mpaka sasa mna aina ngapi
Je, nini kitatokea nikihama router sokoni?
mahali ninapoishi, nitaweza Kwa sasa, tuna aina 2 , 4G R310 SUPAKASI
kutumia kifaa cha huduma hii? na 5G (Nokia na MeigSmart)
Ndio, utaweza kutumia kifaa chako, lakini
itabidi uwasiliane na huduma kwa wateja ili 13. Ni zipi gharama za router za
waweze kuhakikisha kama eneo Intaneti?
unalohamia lina mtandao wa 5G pia kifaa
hicho kitafungwa tena na mtaalamu 4G router
Gharama ya R310 SUPAKASI ni
10. Can I have multiple CPE Tshb165,000/=,
devices or accounts? 5G router.
Yes, you can have multiple CPE devices or NOKIA gharama ni Tsh 650,000/= na 5G
accounts, however, one device can’t be meigsmart router ni Tsh 850,000/.
mapped with multiple MSISDN.
- 1 device 1 msisdn. 14. Kipi kinaifanya 5G iwe ya
- 1 account multiple devices and kipekee?
multiple msisdn. Hivi ni vifaa vya kutumika ndani kwenye
nyumba au ofisi kwa ajili ya kupata
Je, mteja anaweza kua na kifaa huduma za intaneti zisizotumia waya.
au akaunti zaidi ya moja?
Ndio, mteja mmoja anaweza kua na kifaa
au akaunti zaidi ya moja ila kifaa hakiwezi
kua kimeunganishwa na namba zaidi ya
moja.
15. Kuna tofauti gani kati ya aina hizi 2 za router za 5G?
(SUPAKASI R310 & 5G (NOKIA & MEIGSMART)

Angali jedwali lifuatalo:

Tofauti kati ya 4G R310 & 5G (NOKIA & MEIGSMART)


4G R310 SUPAKASI 5G (NOKIA & MEIGSMART
Mtandao Hii ni router ya 4G. Hizi ni router za 5G.
Uwezo Inaweza kuunganisha mpaka Nokia inaweza kuunganisha wateja
wateja/vifaa 32. Zaidi ya 200 na Meigsmart inaweza
kuunganisha mpaka wateja 64.
Kudumu kwa betri Betri yake inaweza kutumika mpaka Inafanya kazi ikiwa tu imeunganishwa
masaa 6 baada ya kuitoa kwenye kwenye chanzo cha umeme.
chanzo cha umeme.

Ubora wa vifurushi Kuna kifurushi kimoja tu cha Kuna vifurushi/mipango 5 ambayo


Tsh 115,000 kinachompa mteja kasi mteja anaweza kuchagua kulingana na
ya mpaka 20Mbps. mahitaji yake. Angalia chini kwa maelezo
zaidi.

16. Ni kipi kinaipa upekee R310 SUPAKASI Router? Kwanini mteja


atumie/anunue 4G R310 SUPAKASI Router?

Angalia jedwali chini ili kumwelezea mteja vizuri:

4G R310 SUPAKASI
Hii ni router ya 4G ya kasi kubwa ya LTE inayotumika ndani ya jengo.
Inaweza kuunganisha hadi wateja/vifaa 32.
Betri yake inaweza kutumika mpaka masaa 6 baada ya kuitoa kwenye chanzo cha umeme.

Akiwa na 4G R310 SUPAKASI Router, anapata kifurushi chenye kasi ya hadi 20Mbps kwa gharama ya
Tsh 115,000 inayolipwa kila mwezi.

17. Ni kipi kinavipa upekee router za 5G? Kwanini mteja atumie/a-


!
nunue router 5G Nokia au Meigsmart ?
Angalia jedwali chini ili kumwelezea mteja vizuri:

5G (NOKIA & MEIGSMART)


Mtandao Hizi ni router zinazotumia mtandao na spidi kubwa Zaidi ya 5G.

Uwezo Nokia inaweza kuunganisha wateja Zaidi ya 200 na Meigsmart


inaweza kuunganisha mpaka wateja 64.

Kuna vifurushi/mipango 5 ambayo mteja anaweza kuchagua


Ubora wa vifurushi
kulingana na mahitaji yake. Angalia chini kwa maelezo zaidi.
18. Kuna vifurushi gani na aina zipi za router za 5G (NOKIA & MEIG-
SMART)?

Angalia chini: angalizo, kasi inayoelezewa hapa ni ile ya kushirikiana:

Vifurushi vilivyopo kwenye router za 5G


Kasi Gharama
Vifurushi vilivyopo kwenye 4G SUPAKASI
Mpaka 20mbps 115,000 ROUTER.
Mpaka 30mbps 120,000
Mpaka 50mbps 150,000 Vifurushi vilivyopo kwenye router za
Mpaka 100mbps 250,000 5G (NOKIA & MEIGSMART).
Mpaka 200mbps 400,000
Mpaka 350mbps 600,000

19. Je, kasi tunayotoa kwa 22. Nini maana ya CPE?


wateja wetu ina kikomo au haina CPEs inamaanisha Customer Premises
kikomo? equipment (Vifaa vinavyosimikwa
Kasi tunayotoa kwa wateja wetu haina mjengoni kwa mteja).
kikomo.
23. Wi-Fi extender ni nini?
20. Vipi kama kifaa kikipata Hiki ni kifaa kinachoongeza nguvu ya
moto sana? mtandao. Unaweza kumshauri mteja
Unashauriwa kuchomoa kwenye umeme akitumie hasa kwa wale wanaokaa kwenye
kwa muda na kisha kurudisha baadae. maghorofa au wanaolalamika kuhushu
Chomoa kifaa kwenye ukiwa haukitumii mtandao. Wi-Fi extender zinapatikana
hasa hasa usiku. kwenye maduka ya vifaa vya umeme na si
maduka ya Vodacom.
21. Nini cha kurekebisha iwapo
mteja atalalamika kuhusu kifaa 24. Cha kufanya iwapo atalala-
kilichozima ghafla? mika kwamba kifaa chake
Muulize mteja kama amefanya malipo. hakiwaki
Angalia kama mtandao unafanya kazi. Mshauri mteja azime kifaa na kuwasha
Unaweza kumuulize mteja ajiridhishe kwa baadae kisha kuangalia kama kimewaka.
kuangalia nguvu ya mtandao kwenye simu Mshauri mteja kuwasha upya kifaa.
yake ya mkononi ili kujua tatizo lipo wapi Kama vyote hivi havisaidii, basi inawezeka.
hasa.
na kuna hitilafu kwenye waya hivyo kupima kasi inayoitwa Ookla/Nokia Wi-Fi
mshauri aje kwenye maduka yetu inayopatikana app store kisha aangalie kasi
iliyopo. Kama inaanzia 5Mbps na kuende-
25.Cha kufanya iwapo kifaa lea kwa router zote za 4G na 5G, basi
kitaonyesha hakuna Intaneti hakuna shida lakini kama ni chini ya hapo,
Angalia kama simcard inayotumika kwenye basi awasilishe tatizo hilo.
router inafanya kazi na imesajiliwa.
Kama haijasiliwa, mshauri mteja atembelee 28. Naweza kutumia intaneti
maduka yetu kufanya usajili. kuangalia YouTube?
Kama akaunti yake haijathibitishwa, basi Ndiyo, unaweza kuangalia YouTube.
mshauri atembelee ofisi yetu ili kuthibitish-
wa. 29. Kifaa hiki kitaniwezesha
kufungua maudhui ya HD?
26. Cha kufanya iwapo simcard Ndiyo, kama kasi ni nzuri, ambayo
ya mteja haisomi inategemeana na watu wangapi wameun-
Sababu inaweza kuwa kwamba simcard ganishwa kwenye kifaa.
haijasajiliwa.
Angalia kama simcard iliyotumika ni sahihi. 30. Vipi kama mteja ameshafan-
Mwambie mteja akupatie namba ya ICCD ya malipo lakini huduma haipa-
au MSISDN – kisha angalia kama MSISDN tikani?
imeunganishwa. Tafadhali wasiliana na ofisi yetu kwa wateja
Kwa wateja wa malipo ya kabla – iCAP ina wa malipo kabla.
wasifu wa mteja. Wasiliana na timu ya huduma kwa wateja
Kwa wateja wa malipo ya muda maalumu – wa malipo ya muda maalumu.
Angalia kwenye CRM kwa kutumia VB ID/
V-namba ya akaunti. Rangi zinazoonekana kwenye
kifaa na maana zake:
27. Kwanini spidi huwa inapun- Kama taa zote za kwenye kifaa ni BLUU,
gua? inamaanisha kifaa kinafanya kazi vizuri.
Angalia vifaa vingapi vimeunganishwa.
Angalia kama alama ya mtandao inaonye- Rangi ya R310 ni kijani.
sha rangi gani, kama ni nyekundu basi kuna Rangi ya Nokia color ni kijani.
shida ya mtandao. Rangi ya Meigsmart ni kijani.

Mshauri mteja apakue aplikesheni ya


31. Jinsi ya kutatua hitilafu. HATUA ZA KUWASILISHA
Kama kitufe cha mtandao HITILAFU
kwenye 4G au 5G kinaonyesha
rangi nyekundu, basi kuna Piga simu kituo cha huduma.
hitilafu aidha kwenye mtandao Wakala wa huduma atatumia njia za
au kifaa. kawaida za kuwasilisha tatizo ofisini.
Unapowasilisha, hakikisha umeweka
Angalia hitilafu kwa njia ya kawaida kwa namba ya mteja iliyowekwa kwenye router
kuangalia kama wasifu wako umethibitish- na pia kama kuna ujumbe wa hitilafu
wa. alioupata mteja wakati wa kuunganisha.
Angalia hitilafu kwa njia ya kawaida kwa
kumshauri mteja ahamishe kifaa sehemu
nyingine ambapo anaweza kupata
mtandao.
Kisha washa tena kifaa n.k.
Kama mteja amefanya njia zote za kutatua
hitilafu na tatizo bado likaendelea,
tafadhali wasilisha ofisini.
5G

You might also like