Kitabu Cha Ice-Cream 230429 200533

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 32

TOLEO

LA
SITA

ICE CREAM
COURTESY BY A.F.KOMBA

YALIYOMO
1.VANILLA ICECREAM .................................................................................................................. Error! Bookmark not defined.
2.MANGO ICE CREAM .................................................................................................................... Error! Bookmark not defined.
3.CINNAMON[MDALASINI] ICECREAM ............................................................................................... Error! Bookmark not defined.
4.YOGURT ICE CREAM WITH FRUITS ................................................................................................... Error! Bookmark not defined.
5.PINEAPPLE[NANASI] ICE CREAM ...................................................................................................... Error! Bookmark not defined.
6.SUGAR FREE STRAWBERRY ICE CREAM ........................................................................................... Error! Bookmark not defined.
7.LIME[LIMAO] ICE CREAM ................................................................................................................. Error! Bookmark not defined.
8.COCONUT ICE CREAM ...................................................................................................................... Error! Bookmark not defined.
9.CHOCOLATE BANANA ICE CREAM .................................................................................................... Error! Bookmark not defined.
10.CREAMY STRAWBERRY ICE CREAM ................................................................................................ Error! Bookmark not defined.
11.COCONUT BANANA ICE CREAM ..................................................................................................... Error! Bookmark not defined.
12.NO CHURN COFFEE ICE CREAM ..................................................................................................... Error! Bookmark not defined.
13.PUMPKIN[BOGA] ICE CREAM ......................................................................................................... Error! Bookmark not defined.
14.EASY CHOCOLATE ICE CREAM ........................................................................................................ Error! Bookmark not defined.
15.STRAWBERRY ICE CREAM .............................................................................................................. Error! Bookmark not defined.
16.PEANUT BUTTER[SIAGI YA KARANGA] ICE CREAM ........................................................................ Error! Bookmark not defined.
17.EASY EGGLES STRAWBERRY ICE CREAM ........................................................................................ Error! Bookmark not defined.
18. VERY CHOCOLATE ICE CREAM....................................................................................................... Error! Bookmark not defined.
19. FIVE MINUTES ICE CREAM ............................................................................................................ Error! Bookmark not defined.
20.FIVE INGRIDIENT ICE CREAM......................................................................................................... Error! Bookmark not defined.
21.SIX THREE ICE CREAM .................................................................................................................... Error! Bookmark not defined.
22.HONEY VANILLA ICE CREAM .......................................................................................................... Error! Bookmark not defined.
23.BANANA YOGURT ICE CREAM ....................................................................................................... Error! Bookmark not defined.
24.BANANA MANGO YOGURT ICE CREAM ......................................................................................... Error! Bookmark not defined.
25.BANANA PAPAYA YOGURT ICE CREAM .......................................................................................... Error! Bookmark not defined.
26.BANANA AVOCADO YOGURT ICE CREAM ...................................................................................... Error! Bookmark not defined.
27.BANANA STRAWBERRY GINGER YOGURT ICE CREAM ................................................................... Error! Bookmark not defined.
28.BANANA GRAPE CARROT YOGURT ICE CREAM ............................................................................. Error! Bookmark not defined.
29.BANANA STRAWBERRY GINGER YOGURT ...................................................................................... Error! Bookmark not defined.
30.BANANA CHOCOLATE ICE CREAM ................................................................................................. Error! Bookmark not defined.
1.VANILLA ICECREAM
MAHITAJI

1.MAZIWA YA MAJI LITA 1

2.CREAM YOYOTE AU [NESTLE CREAM] LITA 1

3.SUKARI NUSU KILO

4.CHUMVI KIJIKO 1 CHA CHAKULA

5.VANILLA YA MAJI VIJIKO 4 VYA CHAKULA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina rojo kwenye sufuria kiSha chemsha kwa moto mdogo acha ichemke hadi ianze kutokota huku
ukiwa unakoroga hadi itoe mapovu mpaka iwe nzito kisha ipua ipoe.

3.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
2.MANGO ICE CREAM
MAHITAJI

1.MAZIWA YA MAJI LITA 1

2.CREAM YOYOTE AU [NESTLE CREAM] LITA 1

3.SUKARI KILO 1

4.CHUMVI KIJIKO 1 CHA CHAKULA

5.JUICE YA EMBE NZITO NUSU LITA

3.CINNAMON[MDALASINI] ICECREAM
MAHITAJI

1.MAZIWA YA MAJI LITA 1

2.CREAM YOYOTE AU [NESTLE CREAM] LITA 1

3.SUKARI KILO 1

4.CHUMVI KIJIKO 1 CHA CHAKULA

5.VANILLA VIJIKO 4 VYA CHAKULA

6.CHOCOLATE KIASI TU

7.MDALASINI WA UNGA VIJIKO 6 VYA CHAKULA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina rojo kwenye sufuria kiSha chemsha kwa moto mdogo acha ichemke hadi ianze kutokota huku
ukiwa unakoroga hadi itoe mapovu mpaka iwe nzito kisha ipua ipoe.

3.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
4.YOGURT ICE CREAM WITH FRUITS
MAHITAJI

1.MAZIWA MTINDI LITA 1

2.CREAM YOYOTE AU [NESTLE CREAM] ROBO

3.SUKARI KILO 1

4.CHUMVI KIJIKO 1 CHA CHAKULA

5.NDIZI MBIVU 6

6.STRAWBERRY ROBO

7.JUICE YA LIMAO 1

8.PILIPILI MANGA KIJIKO 1 CHA CHAKULA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.
5.PINEAPPLE[NANASI] ICE CREAM
MAHITAJI

1.MAZIWA YA MAJI NUSU LITA

2.CREAM YOYOTE AU [NESTLE CREAM] LITA 1

3.SUKARI NUSU KILO

4.CHUMVI KIJIKO 1 CHA CHAKULA

5.JUICE YA NANASI ROBO

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina rojo kwenye sufuria kiSha chemsha kwa moto mdogo acha ichemke hadi ianze kutokota huku
ukiwa unakoroga hadi itoe mapovu mpaka iwe nzito kisha ipua ipoe.

3.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
6.SUGAR FREE STRAWBERRY ICE CREAM
MAHITAJI

1.NDIZI MBIVU 6

2.STRAWBERRY NUSU KILO

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.
7.LIME[LIMAO] ICE CREAM

MAHITAJI

1.MAJI NUSU LITA

2.JUICE YA LIMAO 4

3.SUKARI ROBO

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.
8.COCONUT ICE CREAM
MAHITAJI

1.MAZIWA YA MAJI NUSU LITA

2.CREAM YOYOTE AU [NESTLE CREAM] LITA 1

3.SUKARI NUSU KILO

4.NYAMA YA DAFU MOJA

5.VANILLA VIJIKO 4 VYA CHAKULA

6.MAJI YA DAFU KIASI[SIO LAZIMA]

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
9.CHOCOLATE BANANA ICE CREAM
MAHITAJI

1.MAZIWA YA UNGA ROBO KILO

2.CREAM YOYOTE AU [NESTLE CREAM] ROBO LITA

3.SUKARI ROBO KILO

4.CHOCOLATE KIASI

5.JUICE YA LIMAO 1

6.NDIZI MBIVU 6

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.
10.CREAMY STRAWBERRY ICE CREAM
MAHITAJI

1.MAZIWA YA MAJI NUSU LITA

2.CREAM YOYOTE AU [NESTLE CREAM] NUSU LITA

3.SUKARI NUSU KILO

4.CHUMVI NUSU KIJIKO CHA CHAKULA

5.STRAWBERRY NUSU KILO

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
11.COCONUT BANANA ICE CREAM
MAHITAJI

1.MAZIWA YA MAJI LITA 1

2.CREAM YOYOTE AU [NESTLE CREAM] LITA 1

3.SUKARI NUSU KILO

4.NYAMA YA DAFU 1

5.NDIZI MBIVU 6

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
12.NO CHURN COFFEE ICE CREAM
MAHITAJI

1.KAHAWA YA UNGA ROBO KILO

2.SUKARI ROBO

3.MAZIWA YA MAJI ROBO LITA

4.CREAM YOYOTE[NESTLE CREAM]

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
13.PUMPKIN[BOGA] ICE CREAM
MAHITAJI

1.BOGA NUSU[NYAMA YA BOGA LA KUCHEMSHA]

2.SUKARI NUSU KILO

3.CHUMVI KIJIKO 1 CHA CHAKULA

4.TANGAWIZI 1 ILIO SAGWA

5.MDALASINI WA UNGA VIJIKO 2 VYA CHAKULA

6.VANILLA YA MAJI VIJIKO 2 VYA CHAKULA

7.MAZIWA YA MAJI NUSU LITA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
14.EASY CHOCOLATE ICE CREAM
MAHITAJI

1.CREAM YOYOTE[NESTLE CREAM] NUSU LITA

2.MAZIWA YA MAJI NUSU LITA

3.CHOCOLATE YA KUTOSHA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina rojo kwenye sufuria kiSha chemsha kwa moto mdogo acha ichemke hadi ianze kutokota huku
ukiwa unakoroga hadi itoe mapovu mpaka iwe nzito kisha ipua ipoe.

3.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
15.STRAWBERRY ICE CREAM
MAHITAJI

1.CREAM YOYOTE[NESTLE CREAM] NUSU LITA

2.SUKARI NUSU KILO

3.STRAWBERRY NUSU KILO

4.MAYAI 4[KIINI TU]

5.UNGA WA SEMBE VIJIKO 3 VYA CHAKULA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina rojo kwenye sufuria kiSha chemsha kwa moto mdogo acha ichemke hadi ianze kutokota huku
ukiwa unakoroga hadi itoe mapovu mpaka iwe nzito kisha ipua ipoe.

3.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
16.PEANUT BUTTER[SIAGI YA KARANGA] ICE CREAM
MAHITAJI

1.SUKARI NUSU KILO

2.MAYAI 4[KIINI TU]

3.MAZIWA YA MAJI NUSU LITA

4.PEANUT BUTTER[SIAGI YA KARANGA] ROBO KILO

5.CREAM YOYOTE[NESTLE CREAM] NUSU LITA

6.VANILLA YA MAJI VIJIKO 2 VYA CHAKULA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina rojo kwenye sufuria kiSha chemsha kwa moto mdogo acha ichemke hadi ianze kutokota huku
ukiwa unakoroga hadi itoe mapovu mpaka iwe nzito kisha ipua ipoe.

3.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
17.EASY EGGLES STRAWBERRY ICE CREAM
MAHITAJI

1.MAZIWA FRESH NUSU LITA

2.CREAM YOYOTE[NESTLE CREAM] NUSU LITA

3.SUKARI NUSU KILO

4.CHUMVI KIJIKO 1 CHA CHAKULA

5.VANILLA YA MAJI VIJIKO 2 VYA CHAKULA

6.STRAWBERRY NUSU KILO

7.RANGI NYEKUNDU MATONE 4[RED FOOD COLOUR]SIO LAZIMA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina rojo kwenye sufuria kiSha chemsha kwa moto mdogo acha ichemke hadi ianze kutokota huku
ukiwa unakoroga hadi itoe mapovu mpaka iwe nzito kisha ipua ipoe.

3.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
18. VERY CHOCOLATE ICE CREAM
MAHITAJI

1.SUKARI NUSU KILO

2.MAZIWA YA MAJI NUSU LITA

3.CHUMVI KIJIKO 1 CHA CHAKULA

4.MAYAI 4[KIINI TU]

5.COCOA YA UNGA VIJIKO 4 VYA CHAKULA

6.CREAM YOYOTE[NESTLE CREAM] NUSU LITA

7.CHOCOLATE KIASI

8.VANILLA YA MAJI KIJIKO 1 CHA CHAKULA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina rojo kwenye sufuria kiSha chemsha kwa moto mdogo acha ichemke hadi ianze kutokota huku
ukiwa unakoroga hadi itoe mapovu mpaka iwe nzito kisha ipua ipoe.

3.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
19. FIVE MINUTES ICE CREAM
MAHITAJI

1.STRAWBERRY NUSU KILO

2.SUKARI NUSU KILO

3.CREAM YOYOTE[NESTLE CREAM]NUSU LITA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina rojo kwenye sufuria kiSha chemsha kwa moto mdogo acha ichemke hadi ianze kutokota huku
ukiwa unakoroga hadi itoe mapovu mpaka iwe nzito kisha ipua ipoe.

3.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.

20.FIVE INGRIDIENT ICE CREAM

MAHITAJI
1.MAZIWA YA MAJI NUSU LITA

2.VANILLA VIJIKO 2 VYA CHAKULA

3.CREAM YOYOTE[NESTLE CREAM] NUSU LITA

4.CHUMVI KIJIKO 1 CHA CHAKULA

5.SUKARI NUSU KILO

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina rojo kwenye sufuria kiSha chemsha kwa moto mdogo acha ichemke hadi ianze kutokota huku
ukiwa unakoroga hadi itoe mapovu mpaka iwe nzito kisha ipua ipoe.

3.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
21.SIX THREE ICE CREAM
MAHITAJI

1.SUKARI NUSU KILO

2.CREAM YOYOTE[NESTLE CREAM] NUSU LITA

3.MAZIWA YA MAJI NUSU LITA

4.NDIZI MBIVU 6

5.JUICE YA MACHUNGWA 3

6.JUICE YA MALIMAO 3

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina rojo kwenye sufuria kiSha chemsha kwa moto mdogo acha ichemke hadi ianze kutokota huku
ukiwa unakoroga hadi itoe mapovu mpaka iwe nzito kisha ipua ipoe.

3.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
22.HONEY VANILLA ICE CREAM
MAHITAJI

1.MAZIWA YA MAJI NUSU LITA

2.VANILLA YA MAJI KIJIKO 1 CHA CHAKULA

3.MAYAI 8[KIINI TU]

4.SUKARI NUSU KILO

5.ASALI VIJIKO 5 VYA CHAKULA

6.CHUMVI NUSU KIJIKO CHA CHAKULA

7.CREAM YOYOTE[NESTLE CREAM] NUSU LITA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina rojo kwenye sufuria kiSha chemsha kwa moto mdogo acha ichemke hadi ianze kutokota huku
ukiwa unakoroga hadi itoe mapovu mpaka iwe nzito kisha ipua ipoe.

3.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

ANGALIZO;Kama maziwa unatumia mabichi[fresh] hakikisha unachemsha kwanza na kuacha yapoe

kabisa kisha utaendelea na upishi wako ili kuuwa bacteria.
23.BANANA YOGURT ICE CREAM
MAHITAJI

1.NDIZI MBIVU 8

2.MAZIWA MTINDI NUSU LITA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.
24.BANANA MANGO YOGURT ICE CREAM
MAHITAJI

1.NDIZI MBIVU 8

2. EMBE 2[KATA VIPANDE VIDOGO]

3.MAZIWA MTINDI NUSU LITA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.
25.BANANA PAPAYA YOGURT ICE CREAM
MAHITAJI

1.NDIZI MBIVU 8

2.PAPAI NUSU[KATA VIPANDE VIDOGO]

3.MAZIWA MTINDI NUSU LITA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.
26.BANANA AVOCADO YOGURT ICE CREAM
MAHITAJI

1.NDIZI MBIVU 8

2.PARACHICHI 2[KATA VIPANDE VIDOGO]

3.MAZIWA MTINDI NUSU LITA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.
27.BANANA STRAWBERRY GINGER YOGURT ICE CREAM
MAHITAJI

1.NDIZI MBIVU 8

2.STRAWBERRY NUSU KILO

3.TANGAWIZI 1[KATA VIPANDE VIDOGO SANA]

4.MAZIWA MTINDI NUSU LITA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.
28.BANANA GRAPE CARROT YOGURT ICE CREAM
MAHITAJI

1.NDIZI MBIVU 8

2.DHABIBU ZA KIJANI/NYEUSI KICHANE KIMOJA

3.CARROT 4

4.MAZIWA MTINDI NUSU LITA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.
29.BANANA STRAWBERRY GINGER YOGURT
MAHITAJI

1.NDIZI MBIVU 8

2.STRAWBERRY NUSU KILO

3.TANGAWIZI 1[KATA VIPANDE VIDOGO]

4.MAZIWA MTINDI NUSU LITA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.
30.BANANA CHOCOLATE ICE CREAM
MAHITAJI

1.NDIZI MBIVU 8

2.CHOCOLATE KIASI

3.MAZIWA MTINDI NUSU LITA

MATAYARISHO

1.changanya mahitaji yote vizuri katika chombo hadi sukari yote ipate kuyeyuka vizuri.[unaweza tumia
blender kama huna mashine ya kuchanganyia].

2.mimina katika chombo cha plastic funika vizuri kisha itie katika friji kwa masaa 4 au zaidi hadi iwe
baridi kabisa,koroga tena kisha tia katika freezer igande kwa muda wa masaa 5-8 au usiku kucha.

You might also like