Mwongozo STD Iii Muhula Wa Kwanza 2023

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 6

MWONGOZO PRIMARY SCHOOL

TERMINAL ENGLISH LANGUAGE EXAMINATION FOR STANDARD THREE (III) MAY - 2023

NAME: ……………………………………………………………………………………………. STREAM ………………


SECTION A: DICTATION
1. (i) ……………………………………………. (ii) ………………….….……………………
(iii) ……………………………………………. (iv) ………………….……………………….
(v) ……………………………………………..
2. Choose the letter of the correct answer and write it in the space provided
i) This …………. a flower a) are b) is c) an [ ]
ii) Those ………… fruits a) are b) I am c) is [ ]
iii) She is ……….. to school a) go b) going c) goes [ ]
iv) That is ……………. Egg a) a b) the c) an [ ]
v) Ten is number …………… a) 10 b) 9 c) 12 [ ]
3. SECTION B: WRITE THE OPPOSITE OF THESE WORDS
i) Tall …………………………….
ii) Small …………………………….
iii) Young …………………………….
iv) Black …………………………….
v) Boy …………………………….
vi) Girl …………………………….

4. SECTION C: ARRANGE THE LETTERS TO GET A CORRECT WORD


i) kobo …………………………….
ii) puc …………………………….
iii) glir …………………………….
iv) pne …………………………….
v) nam …………………………….

5. SECTION D: READ THE STORY AND ANSWER THE QUESTIONS


Uncle Juma sells fruits at the Market. He sells water melons, pawpaws, mangoes,
bananas, oranges, lemons and apples. He counts fruits before selling them. He
arranges them into groups. Mrs. Mrisho buys fruits from Uncle Juma. She buys one
water melon, ten oranges, apples and eight mangoes.

QUESTIONS
Fill in the blanks using the words in the box:
ten, Pineapples, Market, Water melon, Fruits, Seller, eight, apples

i) Uncle Juma is ……………………………..……………………………..


ii) He sells fruits at the ……………………………..………………………
iii) He sells bananas, pawpaw, ……………………………………………
iv) Mrs. Mrisho buys ……………… oranges and …………………….. mangoes
__ _

SHULE YA MSINGI MWONGOZO


MTIHANI WA KISWAHILI KWA DARASA LA TATU (III) – MUHULA WA KWANZA- 2023

JINA: …………………………………………………………………………..………………………. MKONDO: …………….…

SEHEMU A:
1. IMLA:.

(i) …………………………………………………. (ii) ………………………………………………


(iii) …………………………………………………. (iv) ……………………………………………….
(v) …………………………………………………..

2. CHAGUA JIBU SAHIHI:


i) Nyumba yangu ina …………… mizuri
(a) Mirango (b) Milango (c) Malango (d) Mlingoti [ ]
ii) Yule kibogoyo alimaliza pipi tatu kwa ………………….
(a) kuziuma (b) kuzimung’unya (c) kuzitafuna [ ]
iii) Neno ghafla maana yake ni ……… (a) haraka (b) shikiza (c) mara moja [ ]
iv) Kila siku jioni bibi hutusimulia …… (a) habari (b) hadisi (c) hadithi [ ]
v) Sauti inayorudiwa bada ya kutolewa huitwa …… (a) Kelel (b) Mwangwi C: Pango [ ]

SEHEMU B:
3. OANISHA KIFUNGUA A NA B
KIFUNGU A KIFUNGU B
i). Mtoto umleavyo [ ] A: Mwizi
ii) Pata jiko [ ] B: Kuoa
iii) Pinga marufuku [ ] C: Kuwa kigeugeu
iv) Ana mkono mrefu [ ] D: Kataza jambo
v) Kuwa popo [ ] E: Ndivyoa akuavyo
SEHEMU C:
4. Jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kutumia maneno haya:
Gulio, Mbuga, Konde, Msitu, Jongoo, KItanzi, Mdogo

i) ……………………. ni makazi ya wanyama pori


ii) Sehemu ya ardhi inayolimwa huitwa ……………………………………………
iii) Sehemu yenye mkusanyiko wa watu wanaouza na kununua bidhaa huitwa ………………………..
iv) Nyuki ni ………………………………… kuliko panzi
v) Eneo lenye miti mingi na nyasi ndefu ni ………………………………………………

5. SEHEMU D: SOMA HABARI IFUATAYO KISHA JIBU MASWALI


Juma ni mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Mchangani. Anaishi na wazazi
wake pamoja na wadogo zake wawili. Baba yake anaitwa Hamisi, mama yake anaitwa Halima,
mdogo wake Juma anaitwa Zena na mwingine anaitwa Hassani. Juma ni mtoto wa kwanza,
Zena ni mtoto wa pili na Hassani ni wa mwisho au mtoto wa tatu.

MASWALI:
i) Juma ni mwanafunzi wa darasa la ngapi?
………………………………………………………...…………..
ii) Baba yake Juma anaitwa
…………………………………………………………………………..……………..
iii) Mdogo wake Juma wa mwisho anaitwa
………………………………………………………………………..

Taja alama mbii za uandishi uliizoziona kwenye habari


iv) ……………………………………………………….
v) ………………………………………………………..
SHULE YA MSINGI MWONGOZO
MTIHANI URAIA NA MAADILI KWA DARASA LA TATU (III) – MUHULA WA KWANZA- MEI 2023
JINA: ……………………………………………………………………………………………. MKONDO: …………….…

. SEHEMU A. CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI


1. Rais wa kwanza wa Tanzania aliitwa ….
(a) J. K. Nyerere (b) J. M. Kikwete (c) B. W. Mkapa [ ]
2. Tanganyika ailipata uhuru wake mwaka ……… (a0 1961 (b) 1964 (c) 1962 [ ]
3. Kuimba, kuchora na kukimbia ni ………(a) Ujuzi (b) Sanaa (c) Kipaji [ ]
4. Rangi ya bluu katika bendera ya taifa huwakiilsha …. …..
(a) Mazingira (b) Madini (c) moto [ ]
5. Kiongozi mkuu wan chi huitwa …………. (a) Waziri Mkuu (b) Rais (c) Spika [ ]

SEHEMU B: JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI:


6. Kuna aina ngapi za fedha? …………………………….………………………….
7. Mali alizonazo mtu au jamii huitwa ………….………………………….………………
8. Bendera ya Rais ina rangi ya ………….………………………….………………
9. Lugha ya taifa letu ………….………………………….………………
10. Wimbo wa Taifa una beti ………….………………………….………………
11. Nchi ya Tanzania ni muungano wan chi ngapi? ………….………………………….…………
12. Kufanya jambo jema bila kusimamiwa huitwa ………….………………………….……………
13. Vitu vinavyotuzunguka katika eneo letu tunaloishi huitwa ………….………………………...
14. Maneno yanayoonekana katika ngao ya taifa ni “Uhuru na ………….………………………..
15. Ni mnyama gani huitwa mnyama wa taifa ………….………………………….………………

SEHEMU C: ANDIKA “NDIYO” AU “HAPANA”


16. Mwanafunzi anatakiwa kuwa nadhifu wakati wote ………….………………………….
17. Uadilifu ni hali ya kuishi kwa kufuata maadili ya jamii .…………………………………..
18. Ulemavu ni hali ya kuwa na kasoro ya kimaumbile .…………………………. .……………
19. Kujitambua ni kujituma .…………………………………..
20. KIelelezo cha wakulima ni mkuki .…………………………….

SEHEMU D: OANISHA FUNGU “A” NA “B” ILI KUPATA MAANA KAMILI


FUNGU A FUNGU B
21. Kahawa A: Vivuli
22. Vyanzo vya maji B: Mbuga za wanyama
23. Miti hutupatia C: Mito na bahari
24. Vivutio vilivyopo Tanzania D: Kuishi kwa kufuata maadili ya jamii
25. Uaminifu E: Mazao ya biashara

SWALI 21 22 23 24 25

JIBU
SHELE YA MSINGI MWONGOZO
MTIHANI WA HISABATI KWA DARASA LA TATU (III) MUHULA WA KWANZA – MEI 2023
JINA: ……………………………………………………………………………..………………………. MKONDO: …………….…
JIBU MASWALI YOTE

SEHEMU A: NAMBA SEHEMU B: Majibu


MATENDO YA NAMBA 1. ……….…….....
Andika namba zifuatazo
kwa tarakimu: 16. 911 + 888 = 2. …………..……
1. Mia tatu na ishirini
17. 2132 3. …………..……
2. Elfu tatu na ishirini
+ 346
4. ……………..…
Andika kwa maneno
5. ……………..…
3. 8700 = ……………………..…….. 18. 4376 – 3245 =
……………………………………………… 19. 3815 6. ……………..…
4. 20 = ………………………………….. – 3614
7. …………..……
5. 901 = …………………………………..
8. ……..…………
Andika kwa kifupi: 20. 50 x 5 = 9. ……………..…
6. 1000 + 900 + 10 + 9 =
10……………..…
7. 500 + 50 + 5= SEHEMU C: MAUMBO:
11…………..……
Fafanua namba zifuatazo: 21. Andika sehemu iliyotiwa kivuli:
12………......……
8. 617 =
9. 2022 = 13…………......…

Andika namba inayo 14……………..…


kosekana: = ……………………………………………..
15………..………
10, 5, 10, 15, 20, _____ Taja majina ya maumbo haya:
11. 70, 60, 50, ____ , 30 16……….....……
22 = ……………………….
Panga namba zifuatazo 17……………..…
toka ndogo kwenda kubwa
18…………..……
12. 500, 100, 400, 200, 300
……………………………………………….. 23. 19…………….….
= ……………………….
Andika thamani ya 20……..…………
tarakimu yenye duara 21……......………
13. 1 9 2 5 = 23. = ……………………….
14. 2 7 3 8 =
22…………..……
15. Panga namba toka kubwa 25. Saa moja ni sawa na dakika 23………..………
kwenda ndogo:
23, 7, 10, 30, 2 = ngapi? …………………………………… 24…………..……
……………………………………………… 25……………..…
SHULE YA MSINGI MWONGOZO
MTIHANI WA MAARIFA YA JAMII KWA DARASA LA TATU (III) MUHULA WA KWANZA – MEI 2023

JINA: …………………………………………………………………………………………………. MKONDO: …………….…

SEHEMU A: CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI


1. Tunaweza kutunza mazingira kwa kupanda ……… (a) Milima (b) mabonde (c) miti [ ]
2. Baba wa mama yako unamwita ………. (a) Bibi (b) Ba mkubwa (c) Babu [ ]
3. Jina la Tanzania ni muungano wa ………………
(a) Tanganyika na Zanzibar (b) Kenya na Uganda (c) Tanganyika na Zimbabwe [ ]
4. Waziri Mkuu wa Tanzania wa sasa anaitwa ……………
(a) Kassim Majaliwa (b) Edward Lowassa (c) Mizengo Pinda [ ]
5. Watu wanaoishi pamoja na kushirikiana katika shughuli mbalimbali ni ………….
(a) Jamii (b) familia (c) serikali [ ]
6. Bendera ya Taifa ina rangi ………………….. (a) mbili (b) nne (c) kumi [ ]
7. Tanganyika ilipata uhuru mwaka …… (a) 1961 (b) 1964 (c) 1981 (d) 1984 [ ]
8. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa mwaka ……………
(a) 1963 (b) 1961 (c) 1964 (d) 1974 [ ]
9. Baba wa Taia la Tanzania anaitwa ……………
(a) John Magufuli (b) Julius Nyerere (c) Sokoine [ ]
10. Kifaa cha kupigia picha kinaitwa …………(a) Ramani (b) Kamera (c) Tarakilishi [ ]

2. SEHEMU B: ANDIKA “KWELI” AU “SI KWELI”


11. Ramani mchoro wa kitu kama kinavyoonekana kutoka juu ……………………………….
12. Mfumo wa jua umezungukwa na sayari nane ……………………………………..
13. Jua hutupatia giza mchana …………………………………
14. Kifaa kinachotumika kupima jotoridi huitwa kipima hewa …………………………………..
15. Mvua husaidia kukuza mazao ……………………………………….
16. Mwenge ni alama ya taifa ……………………………………..
17. Wazaramo husalimiana kwa kupiga magoti …………………………………
18. Mito na mabwawa hukauka kutokana na jua kali ……………………………
19. Kuna aina kuu tatu za fedha za Tanzania …………………………………..
20. Mwezi ni chanzo cha mwanga …………………………………..

SEHEMU C: OANISHA KIFUNGU A NA KIFUNGU B


KIFUNGU A KIFUNGU B
21 Kipima joto [ ] A: Kifaa cha kupigia picha
22. Jadi [ ] B: Chanzo asili cha mwanga
23. Jua [ ] C: Kiwango cha joto au baridi kilichopo katika hewa
24. Kamera [ ] D: Matendo na mwenendo wa kupendeza
25. Madaha [ ] E: Asili ya mtu anapotoka au kitu
SHULE YA MSINGI MWONGOZO
MTIHANI WA SA SAYANSI YA TEKNOLOJIA KWA DARASA LA TATU (III) – MUHULA WA KWANZA – MEI 2023

JINA: ……………………………………………………………………………………………………. MKONDO: …………….…


MAELEKEZO:  Jibu maswali yote katika sehemu zote.

SEHEMU A: CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI


1. Kuna aina …………………….. za maada
(a) Tatu (b) Mbili (c) Moja (d) nne [ ]
2. Chumba kinachotumika kuogea kinaitwa ……………
(a) Choo (b) Bafu (c) Stoo (d) Jiko [ ]
3. Sauti inayorudishwa unapoitwa huiwa …………….
(a) Mwanga (b) Mwale (c) Mwangwi (d) Mlio [ ]
4. Mdudu anayeeneza ugonjwa wa malaria anaitwa ……………
(a) Mende (b) Mbu (c) Kulex (d) Mbung’o [ ]
5. Mwanga husafiri katika mstari ……………….
(a) Ulionyooka (b) Uliopinda (c) Mrefu (d) Mzuri [ ]
6. Viumbe hai huongezeka idadi kwa ………
(a) Kujongea (b) Kula (c) Kukua (d) kuzaliana [ ]
7. Tunapaswa kuchana nywele au kunyoa ili tuwe ……………
(a) Nadhifu (b) wasafi (c) wazalendo (d) wachafu [ ]
8. Mlango wa fahamu unaotumika kuonja vitu ni ……………
(a) Sikio (b) Macho (c) Ulimi (d) Pua [ ]
9. …………. ni kifaa cha kurahisisha kazi
(a) Jiwe (b) Spana (c) Kijiko (d) Sahani [ ]
10. ………… ni jumla ya vitu vinavyomzunguka kiumbe hai
(a) Shule (b) Uwanja (c) Mazingira (d) Nyumba [ ]

SEHEMU B: JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI:


11. Kipimo rasmi kinachotumika kupima uzito ni ………………………………………………..
12. Sehemu ya mwili inayotumika kunusa ni ……………………………………………………..
13. …………………………….. hutumika kufanya nguo zinyooke
14. Tunatumia …………………………….. na …………………………….. kuosha raba
15. Samaki, dagaa na pweza hujongea kwa
……………………………..……………………………..

SEHEMU : OANISHA MANENO YA KUNDI A NA MAELEZO KUTOKA KUNDI B


KUNDI A KUNDI B
16. S i mu [ ] A: Kipitisho kizuri cha joto
17. Taswira [ ] B: Husababisha mwili kunata, kunuka na kuwasha
18 Chuma [ ] C: Chombo kidogo kama redio kinachotumika kuwasiliana
19. Jasho [ ] D: Kifaa cha mawasiliano ya kiasili
20. Baragumu [ ] E: Sura ya kitu

Taja vitu vitatu hatari unavyovijua


21. ……………………………………………………
22. ……………………………………………………
23. ……………………………………………………

24 Kuna aina ngapi za simu? ……………………………………. , zitaje:


25. (i) …………………………………………………..
(ii) ….………………………………………………

You might also like