Nenda kwa yaliyomo

Bunge la Umoja wa Afrika : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pt:Parlamento Pan-africano
Kusahihisha sentensi kuhusu G Mongella
 
(marekebisho 6 ya kati na watumizi wengine 5 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 2: Mstari 2:
'''Bunge la Umoja wa Afrika''' ni mkutano wa wawakilishi wa nchi wanachama wa [[Umoja wa Afrika]].
'''Bunge la Umoja wa Afrika''' ni mkutano wa wawakilishi wa nchi wanachama wa [[Umoja wa Afrika]].


Wabunge wake 265 hawapigiwi kura na raia wa nchi wanachama bali wanateuliwa na [[bunge]] za nchi wanachama. Kwa sasa kazi ya bunge ni kutoa ushauri tu kwani haina mamlaka ya kutunga sheria.
Wabunge wake 265 hawapigwi [[kura]] na [[raia]] wa nchi wanachama bali wanateuliwa na [[bunge]] za nchi wanachama. Kwa sasa kazi ya bunge ni kutoa ushauri tu kwani haina [[mamlaka]] ya kutunga [[sheria]].


Makao makuu ya bunge yapo mji wa [[Midrand]] ([[Afrika Kusini]], sasa kwa muda katika jengo la Gallagher Estate katikati ya [[Johannesburg]] na [[Pretoria]]. Afrika Kusini inalipa gharama za makao na za ofisi ya bunge.
[[Makao makuu]] ya bunge yapo [[mjini]] [[Midrand]] ([[Afrika Kusini]], sasa kwa muda katika [[jengo]] la Gallagher Estate katikati ya [[Johannesburg]] na [[Pretoria]]. Afrika Kusini inalipa [[gharama]] za makao na za [[ofisi]] ya bunge.


Mkutano wa kwanza ulifanyika Machi 2004. Mwenyekiti wa Bunge ni [[Gertrude Mongella]] kutoka [[Tanzania]].
Mkutano wa kwanza ulifanyika Machi [[2004]]. Mwenyekiti wa kwanza wa bunge hilo alikuwa [[Gertrude Mongella]] kutoka [[Tanzania]].


Ana makamu wanne kutoka kanda nne za afrika ndio:
Ana makamu wanne kutoka [[kanda]] nne za Afrika, nao ndio:


* [[F. Jose Dias Van-Du’Nem]] kutoka [[Angola]] (Afrika ya Kusini)
* [[F. Jose Dias Van-Du’Nem]] kutoka [[Angola]] (Afrika ya Kusini)
Mstari 14: Mstari 14:
* [[Loum N. Neloumsei Elise]] kutoka [[Chad]] (Afrika ya Kati)
* [[Loum N. Neloumsei Elise]] kutoka [[Chad]] (Afrika ya Kati)
* [[Theophile Nata]] kutoka [[Benin]] (Afrika ya Magharibi)
* [[Theophile Nata]] kutoka [[Benin]] (Afrika ya Magharibi)
{{Africa topics}}
{{African Union}}
{{African Union languages}}
{{mbegu}}


[[Jamii:Umoja wa Afrika]]
[[Jamii:Umoja wa Afrika]]
[[Jamii:Bunge]]
[[Jamii:Bunge]]
[[Jamii:Bunge la Umoja wa Afrika| ]]
[[Jamii:Bunge la Umoja wa Afrika| ]]

[[cs:Panafrický parlament]]
[[da:Panafrikanske parlament]]
[[de:Panafrikanisches Parlament]]
[[en:Pan-African Parliament]]
[[es:Parlamento Panafricano]]
[[fr:Parlement panafricain]]
[[hr:Panafrički parlament]]
[[lt:Panafrikos parlamentas]]
[[nl:Pan-Afrikaans Parlement]]
[[no:Panafrikanske parlament]]
[[pt:Parlamento Pan-africano]]
[[ro:Parlamentul Panafrican]]
[[sv:Panafrikanska parlamentet]]

Toleo la sasa la 14:23, 28 Juni 2021

Jengo la Bunge la Umoja wa Afrika

Bunge la Umoja wa Afrika ni mkutano wa wawakilishi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika.

Wabunge wake 265 hawapigwi kura na raia wa nchi wanachama bali wanateuliwa na bunge za nchi wanachama. Kwa sasa kazi ya bunge ni kutoa ushauri tu kwani haina mamlaka ya kutunga sheria.

Makao makuu ya bunge yapo mjini Midrand (Afrika Kusini, sasa kwa muda katika jengo la Gallagher Estate katikati ya Johannesburg na Pretoria. Afrika Kusini inalipa gharama za makao na za ofisi ya bunge.

Mkutano wa kwanza ulifanyika Machi 2004. Mwenyekiti wa kwanza wa bunge hilo alikuwa Gertrude Mongella kutoka Tanzania.

Ana makamu wanne kutoka kanda nne za Afrika, nao ndio: