Nenda kwa yaliyomo

Kiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:32, 17 Septemba 2017 na Chicharito44 (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Picha:Speaker's chair, House of Representatives, Canberra.jpg|link=Picha:Speaker%27s%20chair,%20House%20of%20Representatives,%20Canberra.jpg|thumb|Mfano wa ki...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Mfano wa kiti.

Kiti (wingi viti) ni kitu cha samani ambacho watu hukalia.Mara nyingi huwa kina miguu minne ili iweze kusaidia uzito.Aina moja yapo ya kiti ni sofa.Kwenye sofa wana weza kukaa watu zaidi ya wawili.viti vinaweza kutumika sehemu mbambali kama vile nyumbani,shuleni,bungeni,kwenye maabara,ofisini, kanisani,hotelini. n.k