Nenda kwa yaliyomo

Miralem Pjanić

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 09:35, 5 Agosti 2019 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Miralem Pjanic.

Miralem Pjanić (alizaliwa 2 Aprili 1990) ni mchezaji wa soka wa Bosnia na Herzegovina ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Serie A Juventus na timu ya taifa ya Bosnia.

Pjanić alianza kazi yake huko Metz. Alisaini katika klabu ya Lyon mnamo 2008 na baadae kusaini AS Roma baada ya misimu mitatu mwaka 2011. Mnamo tarehe 13 Juni 2016, baada ya mkataba wake kuisha pale AS Roma Pjanić alijiunga na Juventus kwa mkataba wa miaka mitano kwa ada ya milioni 32. Alipewa jezi namba 5 mgongoni ili kuanza msimu mpya.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Miralem Pjanić kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.