Nenda kwa yaliyomo

Mnara wa taa wa Aleksandria : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tag: Reverted
No edit summary
 
(marekebisho 18 ya kati na watumizi wengine 10 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
'''Mnara wa taa wa Aleksandria''' (pia hujulikana kama '''Pharos ya Aleksandria''') ulikuwa [[mnara wa taa]] [[Mji|mjini]] [[Aleksandria]] huko [[Misri]] ambao ulihesabiwa kati ya [[Maajabu ya dunia|maajabu saba ya dunia]]. [[Kimo]] chake hakijulikani kikamilifu lakini kilikuwa kati ya [[mita]] 110 na 150.
'''Mnara wa Taa wa Alexandria''', pia muda mwingine huitwa '''Pharos of Alexandria''',Mnara huu wa taa ulijengwa na ''ufalme wa Ptolemaic'',wakati wa utawala wa ''Ptolemy II Philadelfia'' (280-247 KK),,<ref>{{cite book|first=Peter A.|last= Clayton|chapter=Chapter 7: The Pharos at Alexandria|title=The Seven Wonders of the Ancient World|chapter-url=https://books.google.com/books?id=UU2AAAAAQBAJ|editor1=Peter A. Clayton|editor2=Martin J. Price|location=London|publisher=Routledge|year=2013|isbn=9781135629281|page=[https://books.google.com/books?id=UU2AAAAAQBAJ&pg=PA11 11]}}</ref> ambapo inakadiriwa kuwa angalau ni mita 100 kwa urefu wa jumla.<ref>{{cite book|first=Peter A.|last= Clayton|chapter=Chapter 7: The Pharos at Alexandria|title=The Seven Wonders of the Ancient World|chapter-url=https://books.google.com/books?id=UU2AAAAAQBAJ|editor1=Peter A. Clayton|editor2=Martin J. Price|location=London|publisher=Routledge|year=2013|isbn=9781135629281|page=147}}</ref> Ni moja ya Maajabu Saba ya Ulimwengu wa Kale, kwa [[karne]] nyingi zilizopita ilikuwa ni moja ya jengo refu zaidi lililotengenezwa na wanadamu ulimwenguni.


[[Mnara]] huo ulijengwa kwenye [[kisiwa]] kidogo kilichoitwa "Pharos" kilichokuwa mita chache mbele ya [[mwambao]] wa [[Aleksandria]]. Baadae mnara uliitwa kwa [[jina]] la [[kisiwa]].

[[Ujenzi]] ulitokea wakati wa [[utawala]] wa Ptolemaio II Filadelfo ([[280 KK|280]]-[[247 KK|247]] KK)<ref>{{cite book|first=Peter A.|last= Clayton|chapter=Chapter 7: The Pharos at Alexandria|title=The Seven Wonders of the Ancient World|chapter-url=https://books.google.com/books?id=UU2AAAAAQBAJ|editor1=Peter A. Clayton|editor2=Martin J. Price|location=London|publisher=Routledge|year=2013|isbn=9781135629281|page=[https://books.google.com/books?id=UU2AAAAAQBAJ&pg=PA11 11]}}</ref> ambapo unakadiriwa kuwa angalau ni mita 100 za urefu wa jumla.<ref>{{cite book|first=Peter A.|last= Clayton|chapter=Chapter 7: The Pharos at Alexandria|title=The Seven Wonders of the Ancient World|chapter-url=https://books.google.com/books?id=UU2AAAAAQBAJ|editor1=Peter A. Clayton|editor2=Martin J. Price|location=London|publisher=Routledge|year=2013|isbn=9781135629281|page=147}}</ref>. Kwa [[karne]] nyingi Pharos ilikuwa kati ya [[Jengo|majengo]] marefu ya [[dunia]]. Iliporomoka baada ya [[matetemeko ya ardhi]] yaliyotokea Aleksandria miaka [[1303]] na [[1323]].

==Picha==
<gallery>
Picha:Phare d'Alexandrie (Barclay).jpg
Picha:Lighthouse - Thiersch.png
Picha:Lighthouse of Alexandria in Changsha China.jpg
Picha:Lighthouse of Alexandria in Changsha.jpg
Picha:Pharos at Abuqir.jpg
Picha:Pharos of Alexandria.jpg
Picha:Mosaic Ancient Lighthouse of Alexandria.jpg
Picha:PhareAlexandrie.jpg|350px|thumb|right|Picha ya Pharos kwenye sarafu za Aleskandria zilizotolewa wakati wa Dola la Roma.
File:Lighthouse - Thiersch.png|thumb|250px|Mnara wa Aleksandria
Faili:PHAROS2013-3000x2250.jpg
Faili:Leuchtturm von Alexandria.png|thumb|Mnara wa taa wa Alexandria
</gallery>


== Marejeo ==
== Marejeo ==
{{Reflist}}
{{Reflist}}
{{Mbegu-jio-Misri}}
{{Mbegu-jio-Misri}}
[[Jamii:Jiografia ya Misri]]
[[Jamii:Maajabu ya Dunia]]
[[Jamii:Misri ya Kale]]
[[Jamii:Aleksandria]]
[[Jamii:Minara ya taa ya Misri]]
[[Jamii:Minara ya taa ya Misri]]
[[Jamii:Africa Wiki Challenge Arusha]]
[[Jamii:Africa Wiki Challenge Arusha]]

Toleo la sasa la 13:08, 1 Oktoba 2022

Mnara wa taa wa Aleksandria (pia hujulikana kama Pharos ya Aleksandria) ulikuwa mnara wa taa mjini Aleksandria huko Misri ambao ulihesabiwa kati ya maajabu saba ya dunia. Kimo chake hakijulikani kikamilifu lakini kilikuwa kati ya mita 110 na 150.

Mnara huo ulijengwa kwenye kisiwa kidogo kilichoitwa "Pharos" kilichokuwa mita chache mbele ya mwambao wa Aleksandria. Baadae mnara uliitwa kwa jina la kisiwa.

Ujenzi ulitokea wakati wa utawala wa Ptolemaio II Filadelfo (280-247 KK)[1] ambapo unakadiriwa kuwa angalau ni mita 100 za urefu wa jumla.[2]. Kwa karne nyingi Pharos ilikuwa kati ya majengo marefu ya dunia. Iliporomoka baada ya matetemeko ya ardhi yaliyotokea Aleksandria miaka 1303 na 1323.

  1. Clayton, Peter A. (2013). "Chapter 7: The Pharos at Alexandria". Katika Peter A. Clayton; Martin J. Price (whr.). The Seven Wonders of the Ancient World. London: Routledge. uk. 11. ISBN 9781135629281.
  2. Clayton, Peter A. (2013). "Chapter 7: The Pharos at Alexandria". Katika Peter A. Clayton; Martin J. Price (whr.). The Seven Wonders of the Ancient World. London: Routledge. uk. 147. ISBN 9781135629281.
Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa Aleksandria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.