Nenda kwa yaliyomo

Mnara wa taa wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mnara wa Taa wa Alexandria, pia muda mwingine huitwa Pharos of Alexandria,Mnara huu wa taa ulijengwa na ufalme wa Ptolemaic,wakati wa utawala wa Ptolemy II Philadelfia (280-247 KK),,[1] ambapo inakadiriwa kuwa angalau ni mita 100 kwa urefu wa jumla.[2] Ni moja ya Maajabu Saba ya Ulimwengu wa Kale, kwa karne nyingi zilizopita ilikuwa ni moja ya jengo refu zaidi lililotengenezwa na wanadamu ulimwenguni.


Marejeo

  1. Clayton, Peter A. (2013). "Chapter 7: The Pharos at Alexandria". Katika Peter A. Clayton; Martin J. Price (whr.). The Seven Wonders of the Ancient World. London: Routledge. uk. 11. ISBN 9781135629281.
  2. Clayton, Peter A. (2013). "Chapter 7: The Pharos at Alexandria". Katika Peter A. Clayton; Martin J. Price (whr.). The Seven Wonders of the Ancient World. London: Routledge. uk. 147. ISBN 9781135629281.
Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa Aleksandria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.