Nenda kwa yaliyomo

Romain Rolland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 00:28, 2 Desemba 2008 na AlleborgoBot (majadiliano | michango) (roboti Nyongeza: ur:روماں رولاں)

Romain Rolland (29 Januari, 186630 Desemba, 1944) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Baadhi ya maandiko yake aliandika wasifu ya maisha ya Ludwig van Beethoven. Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia alifuata mawazo ya Gandhi na ya kikomunisti. Mwaka wa 1915 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.