Sacramento, California
Jiji la Sacramento | |||
| |||
Mahali pa mji wa Sacramento katika Marekani |
|||
Majiranukta: 38°33′20″N 121°28′08″W / 38.55556°N 121.46889°W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | California | ||
Wilaya | Sacramento | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 475,743 | ||
Tovuti: www.CityofSacramento.org |
Sacramento ndiyo mji mkuu katika jimbo wa California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 2.1 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 8 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jina la Sacramento ni ya Kihispania, maana yake ni "sakramenti".
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Tovuti ya mji la Sacramento
Miji mikuu ya majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sacramento, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |