Nenda kwa yaliyomo

Tolyatti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Tolyatti

Tolyatti (kwa Kirusi: Тольятти, kutokana na jina la Palmiro Togliatti, mwanasiasa Mkomunisti wa Italia) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 702.879. Iko katika mkoa wa Samara Oblast.

Tazama pia

Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tolyatti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.