Nenda kwa yaliyomo

Wikipedia:Jumuiya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


  • sw: Ukurasa huu ni kwa ajili ya kuwasaidia watu wanaotaka kuboresha kamusi hii. Viungo vya jumuia:
Wikipedia:Sanduku la mchanga Wikipedia:Wakabidhi Wikipedia:Makala kwa ufutaji Wikipedia:Makala zinazohifadhiwa Makala zinazotembelewa sana leo hii
Wikipedia:Ubalozi Wikipedia:Bots Wikipedia:Kona ya majadiliano‎ Wikipedia:Makala zilizoombwa Angalia michango ya watumiaji
  • en: Welcome to the Swahili Wikipedia village pump!

Requests for the bot flag should be made on the page Wikipedia:Bots. This wiki uses the standard bot policy, and allows global bots and automatic approval of certain types of bots. Other bots should apply below, and then request access from a steward if there is no objection.


Majadiliano ya awali yamehamishiwa hapa:

Karibu!

Ukitaka msaada wa kusanifisha makala, angalia hapa.

Makala nzuri ionekane kama makala hizi: lugha, Eritrea

Ukifikiri kwamba hutaweza kuandika moja kwa moja makala ndefu na nzuri kama hiyo, uanzishe makala ndogo tu (kama hii: hesabu), na baadaye watu wengine (au wewe mwenyewe) wataweza kuikuza na kuiboresha.

Bado kuna makala kuu ambazo zimeunganishwa na ukurasa wa mwanzo, lakini hazijaandikwa. Ni muhimu tuziandike kwanza kurasa hizo:

Ujenzi, Teknolojia, Dini

Kuna makala chache ambazo zimeandikwa kwa lugha ya kidini. Sisi tunataka kuandika kamusi elezo, na kwa hiyo ni lazima makala ziandikwe kwa lugha ya kisayansi, kwa sababu watu hawawezi kukubaliana kuhusu mambo ya dini. Kwa hiyo tubadilishe makala hizo zisiwe kwa lugha ya kidini:

Sheria

Kuna makala chache ambazo zimeandikwa kwa rai ya watu wachache. Lakini kwa kamusi elezo ni lazima kwamba rai za watu wote zivumiliwe. Kwa hiyo ni muhimu kubadilisha makala hii:

Dini, Uislamu, Hadithi za Mtume Muhammad

(makala hizi tatu zimeandikwa kwa rai ya waislamu tu, lakini hiyo siyo sawa. Angalia makala kwa Kiingereza (Religion na Islam) ili kujifunza makala kama hizo ziandikwe namna gani, ili kuvumilia maoni ya watu wote.)


Ili kuboresha tovuti hiyo, ni muhimu tutafsiri sehemu zote ambazo bado ni kwa Kiingereza. Siku hizi, Marcos anafanya kazi hiyo. Ukitaka kumsaidia, au ukiona makosa katika tafsiri yake, umwarifu hapa.


Universal Language Selector will be enabled by default again on this wiki by 21 February 2014

On January 21 2014 the MediaWiki extension Universal Language Selector (ULS) was disabled on this wiki. A new preference was added for logged-in users to turn on ULS. This was done to prevent slow loading of pages due to ULS webfonts, a behaviour that had been observed by the Wikimedia Technical Operations team on some wikis.

We are now ready to enable ULS again. The temporary preference to enable ULS will be removed. A new checkbox has been added to the Language Panel to enable/disable font delivery. This will be unchecked by default for this wiki, but can be selected at any time by the users to enable webfonts. This is an interim solution while we improve the feature of webfonts delivery.

You can read the announcement and the development plan for more information. Apologies for writing this message only in English. Thank you. Runa

Amendment to the Terms of Use

Call for project ideas: funding is available for community experiments

I apologize if this message is not in your language. Please help translate it.

Do you have an idea for a project that could improve your community? Individual Engagement Grants from the Wikimedia Foundation help support individuals and small teams to organize experiments for 6 months. You can get funding to try out your idea for online community organizing, outreach, tool-building, or research to help make Wikipedia better. In March, we’re looking for new project proposals.

Examples of past Individual Engagement Grant projects:

Proposals are due by 31 March 2014. There are a number of ways to get involved!

Hope to have your participation,

--Siko Bouterse, Head of Individual Engagement Grants, Wikimedia Foundation 19:44, 28 Februari 2014 (UTC)[jibu]

Proposed optional changes to Terms of Use amendment

Hello all, in response to some community comments in the discussion on the amendment to the Terms of Use on undisclosed paid editing, we have prepared two optional changes. Please read about these optional changes on Meta wiki and share your comments. If you can (and this is a non english project), please translate this announcement. Thanks! Slaporte (WMF) 21:56, 13 Machi 2014 (UTC)[jibu]

Catalan Culture Challenge

I apologize if this message is not in your language. Please help translate it.

The Catalan-speaking world... Want to find out more? From March 16 to April 15 we will organise the Catalan Culture Challenge, a Wikipedia editing contest in which victory will go to those who start and improve the greatest number of articles about 50 key figures of Catalan culture. You can take part by creating or expanding articles on these people in your native language (or any other one you speak). It would be lovely to have you on board. :-)

We look forward to seeing you!

Amical Wikimedia--Kippelboy (majadiliano) 06:07, 16 Machi 2014 (UTC)[jibu]

Changes to the default site typography coming soon

This week, the typography on Wikimedia sites will be updated for all readers and editors who use the default "Vector" skin. This change will involve new serif fonts for some headings, small tweaks to body content fonts, text size, text color, and spacing between elements. The schedule is:

  • April 1st: non-Wikipedia projects will see this change live
  • April 3rd: Wikipedias will see this change live

This change is very similar to the "Typography Update" Beta Feature that has been available on Wikimedia projects since November 2013. After several rounds of testing and with feedback from the community, this Beta Feature will be disabled and successful aspects enabled in the default site appearance. Users who are logged in may still choose to use another skin, or alter their personal CSS, if they prefer a different appearance. Local common CSS styles will also apply as normal, for issues with local styles and scripts that impact all users.

For more information:

-- Steven Walling (Product Manager) on behalf of the Wikimedia Foundation's User Experience Design team

Hi there, first off all, sorry for writing in English. Please help translate this message to your language!

Far up north here in Sweden we have more than ice and elks! This month (1st-31st May) you are invited to take part in a writing contest about the northern city of Umeå, which currently is the European Capital of Culture. These 40 important articles are needed in your language as we hope to place QRpedia signs next to these landmarks in Umeå during 2014, making it easier for tourists and immigrants to enjoy the city's history and culture. This will make Umeå the first Wikipedia city in the Nordic countries! :-)

I hope that you will join the fun and take part in translating or improving these 40 articles and win great prizes! Kind regards, John Andersson (WMSE) (majadiliano) 10:48, 4 Mei 2014 (UTC) (project manager for Umepedia)[jibu]

No one needs free knowledge in Esperanto

There is a current discussion on German Wikipedia on a decision of Asaf Bartov, Head of WMF Grants and Global South Partnerships, Wikimedia Foundation, who rejected a request for funding a proposal from wikipedians from eowiki one year ago with the explanation the existence, cultivation, and growth of the Esperanto Wikipedia does not advance our educational mission. No one needs free knowledge in Esperanto. On meta there has also started a discussion about that decision. --Holder (majadiliano) 10:56, 5 Mei 2014 (UTC)[jibu]

Wiki Indaba 2014

Wapendwa nitashiriki kwenye mkutano wa wikiIndaba 2014 utakaofanyika 20-22 Juni 2014 huko Joburg, Afrika Kusini. Kama wachangiaji wengine nimeandikwa na waratibu wa mkutano na kukaribishwa - labda nimekuwa mtu wa pekee kati ya wachangiaji wetu wa kudumu alyejibu sasa wananitumia tiketi. Kumbe sikutegemea kweli lakini sasa nitaenda. Nikielewa shabaha ya mkutano huu vema (tazama tovuti yao) wanalenga kujenga muundo wa usimamizi na usaidizi wa miradi ya wikimedia katika Afrika. Hapo waratibu wanaweka uzito kwenye makundi ya chapters - nje ya majaribio ya kuunda chapter ya wikimedia ya Kenya (iliyoshindikana ninavyosikia) hakuna kitu kama hiki katika mazigira ya sw:wikipedia.

Kwa hiyo ninaomba sana ushauri wa wenzangu maana nitakuwa huko kama mwakilisha wa jumuiya yetu, si kundi la chapter yoyote. Nitaandika zaidi baadaye kwa sasa naomba hojo lolote kuhusu mambo yanayofaa kupelekwa huko. Kipala (majadiliano) 11:34, 13 Mei 2014 (UTC)[jibu]

Namomba msome hapa ninachopenda kusema wakati wa Wikiindaba 2014 kwa niaba ya wikipedia yetu. Nakaribisha mawazo yenu kwenye ukurasa palepale! Kipala (majadiliano) 12:03, 22 Mei 2014 (UTC)[jibu]

Media Viewer


Greetings, my apologies for writing in English.

I wanted to let you know that Media Viewer will be released to this wiki in the coming weeks. Media Viewer allows readers of Wikimedia projects to have an enhanced view of files without having to visit the file page, but with more detail than a thumbnail. You can try Media Viewer out now by turning it on in your Beta Features. If you do not enjoy Media Viewer or if it interferes with your work after it is turned on you will be able to disable Media Viewer as well in your preferences. I invite you to share what you think about Media Viewer and how it can be made better in the future.

Thank you for your time. - Keegan (WMF) 21:29, 23 Mei 2014 (UTC)[jibu]

--This message was sent using MassMessage. Was there an error? Report it!



Wasomaji wetu wanapenda nini?

Makala 30 zilizotazamiwa zaidi wakati wa Mei 2014 na Disemba 2013

Wapendwa, katika maandilizi ya somo kwa mkutano ujao huko Joburg nimefanya utafiti kidogo labda mtapenda kujua pia. Nimeona katika taarifa kuhusu wikipedia ya Kiingereza ya kuwa takriban asilimia 40 za wasomaji wanafungua kwanza kurasa zinazohusu „entertainment and sex“ yaani burudani na ngono.

Na kwetu je? Nimechungulia orodha ya makala zinazopendwa zaidi (inapatikana hapa: http://tools.wmflabs.org/wikiviewstats/? – Riccardo: itakuambia kwa mfano Utawa wa tatu wa Mt. Fransisko imetazamiwa mara 126 tangu Machi!) . Kumbe! Msishangae kama makala zako SI nafasi ya kwanza tulipotumia jasho na muda mwingi! Lakini hatuko hapa kwa kumfanyia mtu yeyote mapenzi yake, sivyo?

Habari njema: Wasomaji wetu hawatafuti burudani na ngono kwenye nafasi ya kwanza!! (wanatafuta siasa na ngono, lakini…)

Nimejaribu kupanga makala (picha inyonyesha makala 30 za juu) kwa vikundi, bila shaka si kitaalamu sana. Maana unaweza kupanga tofauti, makala kuhusu „maradhi ya zinaa“ labda iwe zaidi „elimu“ kuliko ngono, na Nyerere labda zaidi kuvutwa na mada ya Tanzania/ Afrika Mashariki kuliko siasa… Basi mtazame wenyewe!


Mada kwenye kuraza 50 zilizotembelewa sana Disemba 2013 Mei 2014
Ziara zote kwa sw:wkipedia katika mwezi huu 2,500,000 2,400,000
Ziara kwa kuraza 50 zilizotembelewa zaidi 102,212 77,960
Mada Ziara nafasi Ziara nafasi
Siasa 46,548 1 12,918 3
Ngono 13,904 2 19,941 1
Burudani, michezo, muziki 13,299 3 14,796 2
Afrika Mashariki 8,091 4 7,211 6
Lugha 7,655 5 8,052 5
Elimu kwa jumla 7,529 6 9,909 4
Dini + falsafa 4,986 7 5,133 7

Kipala (majadiliano) 11:20, 8 Juni 2014 (UTC)[jibu]

Asante sana, mzee wetu - leo umetuelimisha vema kabisa. Kweli unastahili kutuwakilisha huko Joburg. Safari njema! --Baba Tabita (majadiliano) 19:25, 8 Juni 2014 (UTC)[jibu]

Media Viewer is now live on this wiki


Media Viewer lets you see images in larger size

Greetings— and sorry for writing in English, please translate if it will help your community,

The Wikimedia Foundation's Multimedia team is happy to announce that Media Viewer was just released on this site today.

Media Viewer displays images in larger size when you click on their thumbnails, to provide a better viewing experience. Users can now view images faster and more clearly, without having to jump to separate pages — and its user interface is more intuitive, offering easy access to full-resolution images and information, with links to the file repository for editing. The tool has been tested extensively across all Wikimedia wikis over the past six months as a Beta Feature and has been released to the largest Wikipedias, all language Wikisources, and the English Wikivoyage already.

If you do not like this feature, you can easily turn it off by clicking on "Disable Media Viewer" at the bottom of the screen, pulling up the information panel (or in your your preferences) whether you have an account or not. Learn more in this Media Viewer Help page.

Please let us know if you have any questions or comments about Media Viewer. You are invited to share your feedback in this discussion on MediaWiki.org in any language, to help improve this feature. You are also welcome to take this quick survey in English, en français, o español.

We hope you enjoy Media Viewer. Many thanks to all the community members who helped make it possible. - Fabrice Florin (WMF) (talk) 21:54, 19 Juni 2014 (UTC)[jibu]

--This message was sent using MassMessage. Was there an error? Report it!

Salamu kutoka mkutano wa Wikiindaba mjini Johannesburg, Afrika Kusini

Wapenda, nawasalimuni kutoka mkutano wa wanawikipedia / wikimedia unaoelekea sasa kwisha. Naweka hapa taarifa 2 nilizotoa mbele ya mkutano. Jioni hii narudi kwangu. Ningalifurahia kukutana nanyi hapa! Basi nitaandika taarifa zaidi hapo chini. kwa sasa viungo hapa:

Swali kwa wenzangu: katika taarifa juu ya wikipedia ya Kiswahili niliona vema kutambulisha pia kundi la wahariri waliokuwepo muda wote katika miaka 5 iliyopita. Kama mmoja wetu anaona si vizuri kama picha na majina yapo naomba mniambie, ninaweza kuibadilisha tena! Kipala (majadiliano) 12:55, 22 Juni 2014 (UTC)[jibu]

Taarifa fupi juu ya mkutano: mambo yaliyo na maana kwetu ni kama yafuatayo.

  1. inaonekana siku hizi wikimedia wana pesa kiasi kutokana na kempeni za kuomba michango ya kifedha wako tayari kusaidia miradi mbalimbali inayoweza kukubaliwa. Pia wana ofisi yenye watu kadhaa walioajiriwa.
  2. kati ya hao maafisa yuko mmoja aliye tayari kutusaidia uwakilishi wa mambo yetu kama msaada "toka juu" ni lazima. Maana kama vile kazi za masteward na kadhalika (ambayo mimi niliona ni vigumu mno kumpata mhusika). Jina lake Asaf Bartov na anwani yake ni abartovATwikimedia.or, ukurasa wake ni https://meta.wikimedia.org/wiki/User:Ijon.
  3. nilimwomba aandae nakala ya wikipedia yetu kwa matumizi bila intaneti yaani offline.
  4. ningependa kupeleka maombi haya kwake: a) kufunga uumbaji wa makala kwa watumiaji waliojiandikisha - jinsi tulivyopatana mwaka 2012. Lakini nasubiri kama mmoja wetu alibadilisha mawazo yake. b) kutufungulia nafasi ya kusoma majournal ya kitaalamu - najua walifanya vile kwa wanawikipedia kutoka nchi kadhaa. Yuko yeyote ila mimi anayependa kushiriki?
  5. hoja la ziada: Je mnaonaje tukijaribu kuonana kwa pamoja mwaka ujao? mimi napanga kutembelea TZ tena mwezi wa tatu mwaka ujao (Mungu akipenda...) Yaani Riccardo na Muddy hawana umbali mkubwa, Oliver yuko Nairobi, ila ChriKo?? Tungeweza kujaribu kupata nauli za usafiri na malalo kutoka wikimedia foundation.
  6. halafu swali: je yuko kati yetu mwenye kujua walimu wa shule ya msingi yenye kompyuta? maana tukipata toleo la offline ningependa kumpatia mwalimu kopi na kuona kama anaweza kutumia makala kadhaa ama kwa maandalizi yake au kwa wanafunzi.... Au mwalimu wa chuo wanapotumia Kiswahili? Wewe Riccardo je? Mnayo shule katika parokia yenye kompyuta?
  7. Nimekutana mkutanoni na Mtanzania 1 na Mkenya 1. Tuone kama naweza kuvuta kwetu . . . . Kipala (majadiliano) 11:42, 24 Juni 2014 (UTC)[jibu]
Mpendwa, nimefurahi sana kuona sura zenu. Nilifikiri wewe ni mzee zaidi, kumbe! Mbali ya hayo, nakupongeza kwa kueleza vizuri kazi yetu toka mwanzo! Nasema, amina! --Riccardo Riccioni

(majadiliano) 08:52, 23 Juni 2014 (UTC)[jibu]

Riccardo, sina budi kukiri: picha yangu si ya leo wala ya jana - tuseme:ya juzi. Haya nitapakia picha kwenye ukurasa wangu... Kipala (majadiliano) 11:42, 24 Juni 2014 (UTC)[jibu]
Usiogope, hata picha yangu ina miaka kidogo... majadiliano
Asante, Mzee Kipala, kwa kunikumbusha niangalie ukurasa huo. Nilikuwa nimeshaangalia miswada ya hapo juu nikafurahia picha zetu. Unisamehe kwa kutoitika swali lako. Nakupongeza kwa kazi nzuri na kushukuru kwa kutuwakilisha kule Jo'burg na kwa kutujulisha sasa kuhusu matokeo ya mkutano. Tusonge mbele katika kuboresha wikipedia ya Kiswahili. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 12:48, 24 Juni 2014 (UTC)[jibu]
Kuhusu kukutana mwakani, OK. Kuhusu shule, naandika katika darasa la kompyuta la sekondari ambayo mimi ndiye meneja wake. Tuna wanafunzi kama 3,500... na Kiswahili kinatumika pamoja na Kiingereza, hata kama si rasmi... Toleo la Wikipedia offline lingetufaa sana, ingawa mwaka huu tumeunganishwa na wavuti kwa njia ya faiba inayopita hapa jirani. majadiliano
Kuhusu kukutana mwakani, hata kwangu sioni shida sana. Nairobi iko karibu, tena nasafiri TZ mara kwa mara. Ila tukutane wapi? Mimi binafsi ningependelea mahali pasipo joto sana, kama Moshi kwa mfano. Tukazane kujadiliana. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 14:37, 24 Juni 2014 (UTC)[jibu]
Salaam, wapendwa! Haya, nimefurahishwa na kazi ya mzee wetu. Kuhusu mkutano, kwangu hauna shida. Safari ikiwiva, nipewe taarifa na nitajipanga kadiri iwezekanavyo!--MwanaharakatiLonga 06:16, 25 Juni 2014 (UTC)[jibu]
Kipala salaam. Kumbe, wazungu wetu wote wana mashurubu, hata mimi! Nitapakia picha yangu hivi karibuni. Ninafurahi pia na nakupongeza kwa kazi yako mkutanoni kwa Afrika Kusini. Mwaka ujao nitakuwako Kenya katika nusu ya pili ya Machi. Kwa hivyo ningeweza kuja Tanzania ili kukutana na ninyi. Mimi pia ninapendelea kupanga mkutano wetu karibu kidogo na Nairobi, k.m. Arusha. ChriKo (majadiliano) 16:45, 25 Juni 2014 (UTC)[jibu]
Kwa kweli safari ya Arusha au Moshi kwangu ingenipotezea siku mbili wakati nina majukumu mengi hapa, kiasi kwamba siendi popote... Mbali ya hayo, pamoja na kufahamiana, lengo la kukutana ni lipi? Tunatarajia siku ngapi? Ni sisi wenyewe au tunataka kujaribu kupata wahariri wapya? --majadiliano
Mzee Riccardo, uko wapi? Labda tukutane kwako ikiwezekana. Ama ni mbali sana? Nadhani tukikutana uso kwa uso tungeweza kupanga mikakati ya kupanua wikipedia ya Kiswahili vizuri zaidi, hata mpango wa kupata wahariri wengine wapya. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 19:18, 27 Juni 2014 (UTC)[jibu]
Mimi ni mkazi wa Morogoro tangu mwaka 1995. Ni kweli: Dar es Salaam au Dodoma kwangu si mbali, ila nilikuwa na wazo hilohilo la kwamba hapa shuleni tungeweza kuwashawishi baadhi ya walimu wetu kutumia nafasi ya kuwa na wavuti bure kwa kuchangia wikipedia yetu. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:40, 29 Juni 2014 (UTC)[jibu]

VisualEditor global newsletter—June 2014

This is a one-time mailing to projects that may need this information. Future newsletters will be available as opt-in only. To receive future newsletters (about one per month), please add your page to the subscribers' list at m:VisualEditor/Newsletter. You're welcome to translate to your language.


The character formatting menu

Did you know?

The character formatting menu, or "Style text" menu lets you set bold, italic, and other text styles. "Clear formatting" removes all text styles and removes links to other pages.

Do you think that clear formatting should remove links? Are there changes you would like to see for this menu? Share your opinion at MediaWiki.org.

The user guide has information about how to use VisualEditor.

The VisualEditor team is mostly working to fix bugs, improve performance, reduce technical debt, and other infrastructure needs. You can find on Mediawiki.org weekly updates detailing recent work.

  • They have moved the "Keyboard shortcuts" link out of the "Page options" menu, into the "Msaada" menu. Within dialog boxes, buttons are now more accessible (via the Tab key) from the keyboard.
  • You can now see the target of the link when you click on it, without having to open the inspector.
  • The team also expanded TemplateData: You can now add a parameter type  "date" for dates and times in the ISO 8601 format, and  "boolean" for values which are true or false. Also, templates that redirect to other templates (like {{citeweb}}{{cite web}}) now get the TemplateData of their target (bug 50964). You can test TemplateData by editing mw:Template:Sandbox/doc.
  • Category: and File: pages now display their contents correctly after saving an edit (bug 65349, bug 64239)
  • They have also improved reference editing: You should no longer be able to add empty citations with VisualEditor (bug 64715), as with references. When you edit a reference, you can now empty it and click the "use an existing reference" button to replace it with another reference instead. 
  • It is now possible to edit inline images with VisualEditor. Remember that inline images cannot display captions, so existing captions get removed. Many other bugs related to images were also fixed.
  • You can now add and edit {{DISPLAYTITLE}} and __DISAMBIG__ in the "Page options" menu, rounding out the full set of page options currently planned.
  • The tool to insert special characters is now wider and simpler.

Looking ahead

The VisualEditor team has posted a draft of their goals for the next fiscal year. You can read them and suggest changes on MediaWiki.org.

The team posts details about planned work on VisualEditor's roadmap. You will soon be able to drag-and-drop text as well as images. If you drag an image to a new place, it won't let you place it in the middle of a paragraph. All dialog boxes and windows will be simplified based on user testing and feedback. The VisualEditor team plans to add autofill features for citations. Your ideas about making referencing quick and easy are still wanted. Support for upright image sizes is being developed. The designers are also working on support for viewing and editing hidden HTML comments and adding rows and columns to tables.

Supporting your wiki

Please read VisualEditor/Citation tool for information on configuring the new citation template menu, labeled "⧼visualeditor-toolbar-cite-label⧽". This menu will not appear unless it has been configured on your wiki.

If you speak a language other than English, we need your help with translating the user guide. The guide is out of date or incomplete for many languages, and what's on your wiki may not be the most recent translation. Please contact us if you need help getting started with translation work on MediaWiki.org.

VisualEditor can be made available to most non-Wikipedia projects. If your community would like to test VisualEditor, please contact product manager James Forrester or file an enhancement request in Bugzilla.

Please share your questions, suggestions, or problems by posting a note at mw:VisualEditor/Feedback or by joining the office hours on Saturday, 19 July 2014 at 21:00 UTC (daytime for the Americas and Pacific Islands) or on Thursday, 14 August 2014 at 9:00 UTC (daytime for Europe, Middle East, Asia).

If you'd like to get this newsletter on your own page (about once a month), please subscribe at Meta (or at w:en:Wikipedia:VisualEditor/Newsletter for English Wikipedia only). Thank you! --Elitre (WMF), 22:33, 25 Juni 2014 (UTC)[jibu]

Please help translate this message in your language. Thanks :)

Hi, everybody. This is a reminder that we invite you to discuss VisualEditor's recent development and plans ahead during the next office hours with James Forrester (Product Manager):

If you are not able to attend but have a question for James, you can leave your question at mediawiki.org or on my talk page by the day before, and I will try to get a response. We plan to continue these monthly sessions as long as there is community interest, and to announce them through the VisualEditor global newsletter as well (please subscribe your talk page there to get the latest news about the software).

Most of the VisualEditor team will be at Wikimania in London in August! You'll be able to meet the developers during the Hackaton or at the following sessions:

WMF community liaisons will share a booth with community advocates at the Community Village and look forward to talking to you there. Thanks for your attention! --User:Elitre (WMF) 16:02, 31 Julai 2014 (UTC)[jibu]

VisualEditor global newsletter—July and August 2014

The VisualEditor team is currently working mostly to fix bugs, improve performance, reduce technical debt, and other infrastructure needs. You can find on Mediawiki.org weekly updates detailing recent work.

Screenshot of VisualEditor's link tool
Dialog boxes in VisualEditor have been re-designed to use action words instead of icons. This has increased the number of items that need to be translated. The user guide is also being updated.

The biggest visible change since the last newsletter was to the dialog boxes. The design for each dialog box and window was simplified. The most commonly needed buttons are now at the top. Based on user feedback, the buttons are now labeled with simple words (like "Cancel" or "Done") instead of potentially confusing icons (like "<" or "X"). Many of the buttons to edit links, images, and other items now also show the linked page, image name, or other useful information when you click on them.

  • Hidden HTML comments (notes visible to editors, but not to readers) can now be read, edited, inserted, and removed. A small icon (a white exclamation mark on a dot) marks the location of each comments. You can click on the icon to see the comment.
  • You can now drag and drop text and templates as well as images. A new placement line makes it much easier to see where you are dropping the item. Images can no longer be dropped into the middle of paragraphs.
  • All references and footnotes (<ref> tags) are now made through the "⧼visualeditor-toolbar-cite-label⧽" menu, including the "⧼visualeditor-dialogbutton-reference-tooltip⧽" (manual formatting) footnotes and the ability to re-use an existing citation, both of which were previously accessible only through the "Ingiza" menu. The "⧼visualeditor-dialogbutton-referencelist-tooltip⧽" is still added via the "Ingiza" menu.
  • When you add an image or other media file, you are now prompted to add an image caption immediately. You can also replace an image whilst keeping the original caption and other settings.
  • All tablet users visiting the mobile web version of Wikipedias will be able to opt-in to a version of VisualEditor from 14 August. You can test the new tool by choosing the beta version of the mobile view in the Settings menu.
  • The link tool has a new "Open" button that will open a linked page in another tab so you can make sure a link is the right one.
  • The "Cancel" button in the toolbar has been removed based on user testing. To cancel any edit, you can leave the page by clicking the Read tab, the back button in your browser, or closing the browser window without saving your changes.

Looking ahead

The team posts details about planned work on the VisualEditor roadmap. The VisualEditor team plans to add auto-fill features for citations soon. Your ideas about making referencing quick and easy are still wanted. Support for upright image sizes is being developed. The designers are also working on support for adding rows and columns to tables. Work to support Internet Explorer is ongoing.

Feedback opportunities

The Editing team will be making two presentations this weekend at Wikimania in London. The first is with product manager James Forrester and developer Trevor Parscal on Saturday at 16:30. The second is with developers Roan Kattouw and Trevor Parscal on Sunday at 12:30. There is a VisualEditor Translation Sprint going on during Wikimania; whether you're in London or not, any contributions are welcome!

Please share your questions, suggestions, or problems by posting a note at the VisualEditor feedback page or by joining the office hours discussion on Thursday, 14 August 2014 at 09:00 UTC (daytime for Europe, Middle East and Asia) or on Thursday, 18 September 2014 at 16:00 UTC (daytime for the Americas; evening for Europe).

If you'd like to get this newsletter on your own page (about once a month), please subscribe at w:en:Wikipedia:VisualEditor/Newsletter for English Wikipedia only or at Meta for any project. Thank you! --Elitre (WMF), 14:40, 9 Agosti 2014 (UTC)[jibu]

User:Elitre_(WMF what is "technical debt"? Rich Farmbrough , 17:44, 15 Agosti 2014 (UTC).[jibu]