1 Machi
Mandhari
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Machi ni siku ya 60 ya mwaka (ya 61 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 305.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1896 - Waethiopia wanawashinda Waitalia katika Mapigano ya Adowa.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1653 - Mtakatifu Pasifiko wa San Severino, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1839 - Modest Mussorgsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1910 - A.J.P. Martin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952
- 1917 - Robert Lowell, mshairi kutoka Marekani
- 1921 - Richard Wilbur, mshairi kutoka Marekani
- 1941 - Robert Hass, mshairi kutoka Marekani
- 1971 - Allen Johnson, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani
- 1981 - Párvusz, msanii mchoraji kutoka Hungaria
- 1994 – Justin Bieber
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 492 - Mtakatifu Papa Felix III
- 965 - Papa Leo VIII
- 991 - En'yu, mfalme mkuu wa Japani (969-984)
- 1792 - Kaisari Leopold II wa Ujerumani
- 1911 - Jacobus Henricus van 't Hoff, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1901
- 1995 - Georges Köhler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1984
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Felix III, Albinus wa Angers, Dewi, Siviardi, Switbati, Leo wa Bayonne, Leoluka, Rudesindo, Agnes Cao Guiying n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |