27 Aprili
Mandhari
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 27 Aprili ni siku ya 117 ya mwaka (ya 118 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 248.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1960 - Nchi ya Togo inapata uhuru kutoka Ufaransa
- 1961 - Nchi ya Sierra Leone inapata uhuru kutoka Uingereza
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1822 - Ulysses S. Grant, Rais wa Marekani (1869-1877)
- 1945 - August Wilson, mwandishi kutoka Marekani
- 1951 - Mario Das Neves, mwanasiasa wa Argentina
- 1959 - Andrew Fire, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2006
- 1962 - Edvard Moser, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2014
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1272 - Mtakatifu Zita wa Lucca, bikira kutoka Italia
- 1521 - Ferdinand Magellan, mpelelezi kutoka Ureno
- 1605 - Papa Leo XI
- 1927 - Albert Jeremiah Beveridge, mwanasiasa na mwandishi kutoka Marekani
- 1972 - Kwame Nkrumah, Rais wa kwanza wa Ghana
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Simeoni I wa Yerusalemu, Polioni, Theodori wa Tabennese, Liberali wa Altino, Meugan, Yohane wa Afusia, Zita wa Lucca, Pere Ermengol, Laurenti Nguyen Van Huong n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 27 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |