3 Februari
Mandhari
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 3 Februari ni siku ya thelathini na nne ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 331 (332 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1795 - Antonio José de Sucre, Rais wa Peru (1823) na Rais wa Bolivia (1825-1828)
- 1809 - Felix Mendelssohn, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1907 - James Michener, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1948
- 1951 - Blaise Compaoré, Rais wa Burkina Faso
- 1982 - Isha Ramadhani, mwimbaji kutoka Tanzania
- 1990 - Sean Kingston, mwanamuziki kutoka Jamaika
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 865 - Ansgar Mtakatifu, Askofu wa Hamburg
- 1709 - Mtakatifu Nikolasi Saggio wa Longobardi, mtawa wa shirika la Waminimi kutoka Italia
- 1924 - Woodrow Wilson, Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1919
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Blasi, Ansgari, Simeoni wa Yerusalemu, Ana wa Yerusalemu, Selerino na wenzake, Leonio wa Poitiers, Teridi na Remedi, Lupisino wa Lyon, Adelino wa Celles, Werburga, Berlinda, Klaudina Thevenet, Maria Rivier n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 4 Februari 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |