4 Novemba
Mandhari
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Novemba ni siku ya 308 ya mwaka (ya 309 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 57.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1931 - Cleopa David Msuya, Waziri Mkuu wa Tanzania (1980-1983 na 1994-1995)
- 1933 - Emeka Ojukwu, mwanasiasa Mnigeria
- 1936 - C. K. Williams, mshairi kutoka Marekani
- 1946 - Laura Bush, mke wa George W. Bush, Rais wa Marekani (2001-2009)
- 1969 - Sean Combs, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1847 - Felix Mendelssohn, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1935 - Charles Richet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1913
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Karolo Borromeo, Vitali na Agrikola, Nikandro na Herme, Pierio, Amansi wa Rodez, Perpetui wa Maastricht, Modesta wa Trier, Emeriko wa Hungaria, Felisi wa Valois n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |