Aguascalientes (jimbo)
Mandhari
Aguascalientes (kwa Kihispania: maji moto) ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa Mexiko ya kati ya nchi. Ni jimbo dogo lenye eneo la 5,471 km² na wakazi 1,065,416 pekee.
Mji mkuu na mji mkubwa ni Aguascalientes.
Imepakana na Zacatecas na Jalisco. Imekuwa jimbo ya Mexiko tangu 1857.
Gavana wa jimbo ni Luis Armando Reynoso Femat.
Lugha rasmi ni Kihispania
Miji Mikubwa
[hariri | hariri chanzo]- Aguascalientes (663,671)
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kihispania) Estado de Aguascalientes Sitio oficial Ilihifadhiwa 11 Juni 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Aguascalientes (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |