Aredi
Mandhari
Aredi (pia: Aredius, Aridius, Arigius, Arède, Yrièr, Yriez, Yrieix, Héray, Ieairie, Séries; Limoges, 511 hivi - Saint-Yrieix-la-Perche, 25 Agosti 591) alikuwa chansela huko ikulu[1], halafu mkaapweke na hatimaye abati wa monasteri ambayo aliianzisha huko Atane (leo nchini Ufaransa) akaitungia kanuni maalumu yenye busara kutokana na zile za mashirika mengine [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Agosti[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Goyau, Georges (1910). "Limoges". The Catholic Encyclopedia. 9. New York: Robert Appleton Company. http://www.newadvent.org/cathen/09263a.htm.Kigezo:PD-notice
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/91995
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- François Arbellot, « Testament de saint Yrieix », dans Bulletin de la Société archéologique et historique du Limousin, 1874, tome XXIII, p. 174-193. [1]
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |